Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,010
- 6,678
Kwanza apigwe marufuku hata kupita kwenye hilo daraja kabisa huyo fisadiDuu, huyu mtoa maada amulikwe, anaweza kuwa shahidi mzuri sana. Who is Dau anyway?? A THIEF!! Mtu utatumiaje hela za watu at an inflated rates na kufanyia vikao vya bodi DUBAI, halafu unataka ukumbukwe,, KWA LIPI? UBADHIRIFU.?
Acha ukuda weeeKuna chuki kali sana dhidi ya Dr Dau, hilo liko wazi.
Hata wasipomualika, ukizungumzia ujenzi wa daraja la Kigamboni, JK, JPM na Dr Dau majina yao yataandikwa kwenye kurasa za dhahabu
Hakuna chuki yoyote dhidi ya Dau, bali kuna chuki kali dhidi ya majizi yote akiwemo Dr Dau kama hawa, Liyumba, Chengeee, Tiba, Mkwele,Rizmoko and likes, ila ukivaa miwani ya udini huwezi kuzijuwa fact hizi hapaKuna chuki kali sana dhidi ya Dr Dau, hilo liko wazi.
Hata wasipomualika, ukizungumzia ujenzi wa daraja la Kigamboni, JK, JPM na Dr Dau majina yao yataandikwa kwenye kurasa za dhahabu
Hakuna chuki yoyote dhidi ya Dau, bali kuna chuki kali dhidi ya majizi yote akiwemo mdau, kama hawa, Liyumba, Chengeee, Tiba, Mkwele,Rizmoko and likes, ila ukivaa miwani ya udini huwezi kuzijuwa fact hizi hapa
Mattaka ndio amejenga PPF Tower na Geneva of Africa Arusha na tumemtia jela
Pili Liyumba ndio amejenga Bot twin tower na jiji kupendeza na tumemtia jela pia.
Sasa ni zamu ya Dr Dau kunyea debe.

Punguza mihemko,kwani ni Dau amejenga au NSSF? Na kama ni NSSF na Dau is no longer part of it why should we bother !
Kuna habari zimeenea kwenye mitandao ya kijamii toka juzi kuwa Waziri wa Kazi na ajira Jenista Mhagama na Katibu Mkuu wa hiyo wizara Eric Shitindi wametoa agizo kwa shirika la NSSF wasimwalike aliyekuwa DG wa shirika hilo Dr Ramadhani Dau kwenye sherehe za ufunguzi wa Daraja hilo wiki Ijayo.
Ikumbukwe kuwa Dr Ramadhani Dau amepigania hili daraja lijengwe kwa miaka yote aliyokuwepo kwenye hilo shirika mpaka aliopoondolewa wiki chache zilizopita.Sitaki kuingilia ugomvi na vita vinavyoendelea kati ya akina Magori, Eunice Chieume, Jenista Mgahama na Eric Shitindi lakini kama ni kweli bas sidhani kama Dr Dau alistahili kudhalilishwa kiasi cha kupigwa marufuku kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa hili Daraja. Pia sidhani kama Mheshimiwa Rais Magufuli atafurahia uamuzi huu wa uongozi mpya wa NSSF na Wizara.

Tatizo akili yako ya madrasa hujui Liyumba alikuwa nani BOT, by the way ona Makaburu walichofanya South Africa.Liyumba ajenge BOT twin towers? Na gavana je?
By the way usichanganye vimiradi vidogovidogo kama kujenga magorofa na miradi mikubwa yenye kuinvolve state of art technologies kama daraja la kigamboni.
Daraja hili halipo east and central Africa
Tunakushukuru Mkuu, mchango wako umejengea darajaNssf tangu walipo nidhulumu michango yangu ya miaka mitatu sina hamnao.
Tatizo akili yako ya madrasa hujui Liyumba alikuwa nani BOT, by the way ona Makaburu walichofanya South Africa.
View attachment 339422View attachment 339423
Kwa sababu Wabongo wengi hawasafiri na kuona wenzetu walipo basi ngoja niendelee kumuwekea huyu mdau image za Johannesburg peke yake ili ajuwe Dunia iko mbali kuliko anavyofikiri yeye.Duu mkuu mlinganisho wako nimeupenda....unajua kuna watu wanadhani eti hapa tanzania kuna kitu kinafanyika...we acha tu...kuna jamaa mmoja nilimkuta mishipa ya shingo imemtoka eti anabwata kuwa dar ni Kubwa sana kwa hyo haiwezi kuwa safi hata siku moja....nilimwangaliaaa...nikatamani nimpige kibao niondoke ila kwa jinsi nilivomuaona nikaona nitaanzisha mengine...kwa kifupi watanzania kuna vtu tunavojivunia lakini huko duniani vimeshapitwa hata na wakati kabisa...yaani huyu mtu aliyetologa kama hajafa bado inabidi tukamwangukie ili areverse mambo la sivo kuna shida kweli kweli....
Kwa sababu Wabongo wengi hawasafiri na kuona wenzetu walipo basi ngoja niendelee kumuwekea huyu mdau image za Johannesburg peke yake ili ajuwe Dunia iko mbali kuliko anavyofikiri yeye.
View attachment 339430View attachment 339431View attachment 339432
Ungejenga daraja nisingesema.Tunakushukuru Mkuu, mchango wako umejengea daraja