Tetesi: Dr. Ramadhani Dau apigwa marufuku uzinduzi wa Daraja la Kigamboni

Status
Not open for further replies.
hivi kwanini tumeanza kuwa na habari za kitoto kuzungumzia mambo yasiyo ya msingi yasiyo tujenga? inatusaidia nini hii!? mbona mnatugawa?!
 
Wanaweza kwenye miradi mbalimbali ili kupata faida ya kuwalipa wanachama wao

Unajua Gharama za ujenzi zitarudi baada ya miaka mingapi ili nssf waanze kupata faida.
Kumbuka pia kuwa ujenzi wa madaraja is not their core business. Kuwekeza mitaji mikubwa ktk non core businesses kunaweza kulifilisi shirika.
 
Jamani, wakati mwingine kabla ya kuleta bandiko au kutoa maoni hapa inabidi utafakari faida na hasara yake, hii ndiyo inayoitwa hekima.

Tukirudi kwenye mada, hizi sifa mnazowapa hawa watu kwa kweli hazifanani nao, eti utakumbukwa, dah, kwa lipi lililotukuka?
Mingi kama si yote ya mifuko ya hifadhi ya jamii hiko hoi kifedha kutokana na uwekezaji mbovu kama huo Wa Kigamboni. Halafu mwanaume sijui mwanamke unakuja jamvini kutoa sifa za kijinga. Naomba nikuulize, wana nini hao ambacho watanzania wengine kati ya 45 milioni, hawakiwezi? Fedha za wanachama zinaibiwa na kutumika vibaya, miaka si mingi kanuni ya kulipa mafao imebadilishwa kwa gharama ya mwanachama, halafu wewe unamtukuza mtu kwa ishu ndogo ya dalaja la Kigamboni, hebu tupishe

Tafakari, chukua hatua
 
Asante kwa taarifa ngoja tuwasiliane nae kama bado yupo nchini tuone kama atapata wasaa nae awepo siku ya ufunguzi.
 

Ni kweli alipigania na ku inflate cost ili ajineemeshe na kupigania kwake alimdhalilisha mheshimiwa rais wetu JPM wakati huo akiwa Waziri wa ujenzi,huyu dau ni wa kufungwa kifungo kisichopungua miaka 30.
 
We
Liyumba ajenge BOT twin towers? Na gavana je?

By the way usichanganye vimiradi vidogovidogo kama kujenga magorofa na miradi mikubwa yenye kuinvolve state of art technologies kama daraja la kigamboni.
Daraja hili halipo east and central Africa
N
We punguani huko East and centra afrika kuna kigamboni?wajenge tu madaraka hata pasipohitajika,East and central afrika kuna thika road?unajua hali ya kifadha Nssf baada ya kujenga miradi mungu ambayo hadi sasa hakuna hata senti inayorudi?
 
Weka orodha ya walioalikwa tuone kama jina lake halipo
 
Bw dau mwizi na fisadi la kupindukia ila kwa kuwa ni inter family na mkwere nothing will be wrong
 
nilisoma humu back the days kuwa kwenye uzinduzi wa hilo daraja Dr Dau alimwalika Kikwete na delegates wengine lkn kwa makusudi akamchunia Magufuli... so mkuki kwa nguruwe!. ..
 
Well said
 
ooh,kumbe analipiziwa kisasi,asee..!!
 
Je ni lini wanachama wa nssf tutaanza kuuziwa hisa za uwekezaji wa mtaji yetu ndani ya miradi yoote hii?
Nilitumai watu kuanza kulitafakari hili badala ya kukalia kumjadili mtu au tukio ambalo ni history tayari
 
kuna watu kama machizi, huyu Dau ndio nani kwani?hivi vikauli vyako vina itikadi fulani za kipumbavu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…