Tetesi: Dr. Ramadhani Dau apigwa marufuku uzinduzi wa Daraja la Kigamboni

Status
Not open for further replies.
Si ajabu ndo siku ya kutumbuliwa, ni vyema asiende yasije yakamkuta kama yale ya chuo cha utumishi. Unatumbuliwa live bila chenva
 
haya bana,..endeleeni tu kuparurana. sisi tunasema mradi ni mardadi ila bei tumepigwa.
 

Ahahahaha kumbe? Bora afanye kama siye wengine.... Tulirejea JF tukiwa wapyaaa kabisa
 
haya bana,..endeleeni tu kuparurana. sisi tunasema mradi ni mardadi ila bei tumepigwa.

Je unajua kuwa hawa ni watoto wa MUNGU MMOJA?. NA MUNGU ALIWAPA AMRI KUU YA PILI KUWA WAPENDANE?. Pia unajua kuwa ni uzao mmoja wa IBRAHIMU?. Sasa ni wakati wa kuacha chuki na kufuata amri ya MUNGU inayogusa upendo wa kutoka moyoni. Upendo wa MUNGU. Nawapenda WAISILAMU nawapenda WAKRISITO. Tupendane wooooooote kabisa. Kama unampenda MUNGU mpende jirani yako. Mie ni mkrisito na NDUGU ZANGU NI WAISILAMU.
 
Ndugu huyo nakumbuka yuko nje kama balozi. Akialikwa kwa shughuli ya siku moja ya ufunguzi wa daraja la Kigamboni, safari ya kuja na kurudi gharama hiyo kwa maoni yangu ni matumizi mabaya ya pesa ya umma.
 
Wapuuzi wote ambao hawawezi kujenga hoja wala kuwa na akili fikirishi ambazo zitawatoa nje ya makundi ya kiitikadi na ya kidini na wakaweza kukubalika na makundi yote.

Nyerere aliweza, wakati wake aliweza kukaa na wazee wa Dar akanywa nao kahawa na kucheza nao bao, aliweza kukaa na wasomi wakamuelewa, ila hawa waso na hoja jadidi wanaotetea wahalifu kwa misingi ya imani ni wabaya kuliko hata majizi yenyewe. Ukiwa na akili timamu na unaipenda nchi yako tena una uzalendo moyoni unaweza kumsifia mtu aliyenunua heka moja ya ardhi kwa shilingi takriban billion moja?
 
Wanaweza kwenye miradi mbalimbali ili kupata faida ya kuwalipa wanachama wao
Hakuna lolote wewe ahawa jamaa wanawekeza ktk miradi kwa ajili ya 20% wanachama wanacholipwa ni UPUUZI mtupu na manyanyaso juu!
 
Mkuu kuna vijitu vina akili ya kuku kweli kweli humu! hata ukimwambia facts kwa kuwa ni.... basi wanatetea kwa nguvu zote! Mie namshukuru Mola hakunipa akili KUTU kama zao!
 
NSSF ni taasisi sio mtu binafsi. Serikali haiko obliged kumualika mtu ambaye hayuko tena huko.
 
Unataka Dau aende lama nani kama Dg au kama mwanachi wa kawaida au kama barozi wa nchi x?
 
Kama ni kweli ni dharau sana. Baniani mbaya kiatu chake dawa
 
Kama ni kweli ni dharau sana. Baniani mbaya kiatu chake dawa

Mkuu..
Huyu jamaa ni mchochezii hakuna ukweli hapo anajaribu kuendelea kumchafua ndugu Dau,
Kiufupi fatilia kama kuna pahali amejibu/comment hii hoja yake chochezi/yakutunga tokea haiweke..
 
Unajua Gharama za ujenzi zitarudi baada ya miaka mingapi ili nssf waanze kupata faida.
Kumbuka pia kuwa ujenzi wa madaraja is not their core business. Kuwekeza mitaji mikubwa ktk non core businesses kunaweza kulifilisi shirika.

Absolutely true: Ujenzi wa Hosteli za wanafunzi, Mabibo na ujenzi wa UDOM. Daraja Kigamboni, EGO Village etc yote ni miradi ya fedha nyingi sana na ROI (Return on Investment) itachukua muda murefu sana. NSSF ni shirika lililo-kuwa trusted kushikilia akiba za uzeeni za wananchi wengi watanzania. Sijui kwenye Board of Trustee ya shirika hili wawakilishi wa Wafanyakazi wana nafasi gani kwenye maamuzi? Mifuko mingine kama LAPF wameshafikia hatua ya kuwaruhusu wafanyakazi ku- draw up to 50% ya contributions azao wanapo- attain age fulani, lakini si NSSF wao memekomaa na miradi isiyokuwa na direct benefit kwa wafanyakazi
 
Duu, huyu mtoa maada amulikwe, anaweza kuwa shahidi mzuri sana. Who is Dau anyway?? A THIEF!! Mtu utatumiaje hela za watu at an inflated rates na kufanyia vikao vya bodi DUBAI, halafu unataka ukumbukwe,, KWA LIPI? UBADHIRIFU.?
Kwa lipi mdau KWA LIPI?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…