Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Watumishi wa Mungu tunaendelea kumwombe Dr Samia Suluhu Hassan ili Mwenyezi Mungu amjalie neema ya kuyafahamu haya na ampe nguvu na ujasiri wa kuyatekeleza kwa Uwezo wa Allah.
2030 sio mbali Dr Samia kwa vyovyotw vile hatakuwa tena Rais wa Tanzania baada ya hapo.
Je tutamkumbuka kwa lipi?
Kwa kuwa yeye ni Rais wa Kipekee aliyeahi kuwa Mwanamke kwa ngazi kubwa ya Utawala basi ni vema pia akatuachia Legasi ya kipekee.
Ujenzi wa shule, zahanati na madarasa ni vitu vidogo vidogo vya kawaida sana. Tunaamini kwa uwezo wa Mungu anaweza kufanya zaidi ya Hayo na Mungu amsaidie sana.
Ujenzi wa madaraja hata Madiwani na Wabunge wanaweza kujenga ktk sehemu zao.
Labda nikumbushe kitu kimoja hapa.
Hayati Dr John Magufuli alikuwa Rais aliyeonekana kuwa mzalendo na mchapa kazi.
Lakini kutokana na mifuno ya utawala aliyokutana nayo alishindwa kutimiza malengo.
Niwambieni iko hivi, kutokana na mifuno ya uongozi na utawala iliyopo ni ngumu sana kwa Rais yoyote kutimiza ndoto zake za kuinua Tanzania ktk Ustawi wa kiuchumi, siasa, demokrasia, utawala bora na haki.
Kwa sababu namna unavyoupata Uongozi ina reflect pia namna utakavyoongoza.
Mfano kama umeingia madarakani kwa mgongo wa mtu utajikuta unatumikia huyo mtu badala ya Wale unaowatawala.
Hayati Dr John Magufuli alikuwa na nguvu, shupavu na mzalendo, alipoingia madarakani akakutana na Katiba Mbovu alikuwa na uwezo wa kutamka mara moja na Katiba bora ikaundwa na kukamilika kwa usahihi bila upinzani wowote.
Bahati mbaya sana na yeye akanogewa utamu wa uwepo Katiba yenye matobo. Akaneemeka maana inafurahisha, inawezesha, inakuinua sana.
Mpaka leo ametuachia funzo.
Kutokana na mifumo isiyo imara Rais alijitahisi kuziba huku anashanga akule kunatoboka, akaziba nyufa hapa , pale panafumuka akajikuta ni mwendo huo huo. Sio yeye tu bali hata akina Hayati Benjamini Mkapa na Alihasani Mwinyi wamethibitisha haya ktk maandiko yao.
Wote kwa pamoja wamesisitiza Nchi kuwa na mifumo isiyotegemea maamuzi ya mtu mmoja kwani ni rahisi kudhani mtu mmoja anaweza kumbe sivyo.
Sasa Benjamini Mkapa, Alihassani Mwinyi na Dr Magufuli hawana nafasi tena, hii Fursa umepewa Wewe Mama tafadhali sikiliza vilio vya wanao.
Kwa mifumo hii hatufiki popote miaka inazidi kwenda bure.
Nitoe wito kwa Mama Dr Samia Suluhu Hassani Mungu amwezeshe afanye kile kinachostahili wa Taifa lake na aache kusikiliza watu ambao baada ya 2030 watahamia kwa mwingine.
Yangu ni hayo tu.