TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

Poleni wanafamilia. Poleni watanzania! RIP Dr. Mvungi MUNGU amekupenda zaidi!
 
Oh my Lord,this is painful to me,so painful lord!painful my God.dah!
 
You have no shame CDM inahusikaje hapa shame on u
 
Serikali hii inashindwa kutoa ulinzi kwa watu muhimu kama Dk Mvungi? Kweli, hii ndo ccm! Ee Mungu tunusuru..
 
chadema ndio wanaotakiwa kujibu issue ya dr kupigwa mapanga sha,wao ndo watakuw wahusika wakuu wa hili tukio!huu ni mwendelezo wa ile muvi ya kuteka watu na kuwatesa kama walivyofnya ulimboka

Kwa hiuo wewe hicho ndicho unachokijua kuhusu marehemu Dr. Mvungi? Shame on you. Athari za div. 5.
 


Dont argue with a fool,unaweza kuwa FOOL pia kama huyu so called Kanusu
 
Kauwawa chini ya Serekali ya MACCM iliyopeleka bajeti Bungeni kwa ajili ya fungu La NGONO(Refer bajeti ya ukimwi na kinga kwa wajumbe na kauli ya waziri na waziri kivuli bungeni) kwa wajumbe wakatiba na Kusahahu fungu la ULINZI kwa Wajumbe.
 
Serikali imesahau sana maeneo ya pembezoni na vijijini, hakuna vituo vya polisi, ukienda vijijini utashangaa.. Km 100 hakuna polisi!? Miaka 50 ya uhuru...
 
jina la bwana lihimidiwe bwana alitwaa bwana ametwaa, mungu awatie nguvu ndugu na jamaa wa marehem.amen
 
da, hii ni zaidi ya masikitiko. Rest In Peace Doctor
 
chadema ndio wanaotakiwa kujibu issue ya dr kupigwa mapanga sha,wao ndo watakuw wahusika wakuu wa hili tukio!huu ni mwendelezo wa ile muvi ya kuteka watu na kuwatesa kama walivyofnya ulimboka

Utakuwa umelaaniwa wewe
 
Ujumbe murua toka kwa kiongozi wa kambi rasimi ya upinzani bungeni.....asante mwenyekiti wetu, utu ni bora kuliko madaraka, utu ni bora kuliko vyama vyetu na utu ni bora kuliko haiba na sura zetu, utaifa wetu ni muhimu sana

Mungu amrehemu mzee wetu alale mahali pema peponi amen;
 
Alionyesha kwamba alikuwa Nguri wa mambo ya sheria na katiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…