TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

chadema ndio wanaotakiwa kujibu issue ya dr kupigwa mapanga sha,wao ndo watakuw wahusika wakuu wa hili tukio!huu ni mwendelezo wa ile muvi ya kuteka watu na kuwatesa kama walivyofnya ulimboka

Duuh!! Unanuka kwa maandishi yako ya hovyo, na Mwenyezi Mungu akusamehe kwa maandishi yako.
 
A very sad news for the members of the Bar, we shall miss you brother!! May your soul rest in peace!!

I luckly understand what you mean by the so called BAR to a Lawyer, but mind you, the world out there may come for your throat!
 
sisi tulikupenda lakini mungu amekupenda zaidi,kaka umetangulia mbele ya haki nasi sote tupo njiani.......ulale pema peponi dr s.mvungi
 
Hakuna litakalo fichika chini ya Jua. Kila kitu kitawekwa wazi na luninga zitawaweka wazi wauwaji wote. Mungu ibariki Tanzania pia familia ya marehemu S. Mvungi.
 
Serikali hii inashindwa kutoa ulinzi kwa watu muhimu kama Dk Mvungi? Kweli, hii ndo ccm! Ee Mungu tunusuru..
 
RIP Dr. Mvungi

This is shocking news to me and the Nation. We needed Dr Mvungi at this time than any other time before!! Through him and his colleagues in the Warioba Commission, we expected and we still expect, to get a New costitution that will put us together as a nation and through it and our hard work, have a prosperous nation.

RIP our fallen heroe.
 
NAAMINI KUNA SABABU YA KIFO HICHI! Si bure kwa kweli, kuna jambo liko nyuma ya pazia...
 
chadema ndio wanaotakiwa kujibu issue ya dr kupigwa mapanga sha,wao ndo watakuw wahusika wakuu wa hili tukio!huu ni mwendelezo wa ile muvi ya kuteka watu na kuwatesa kama walivyofnya ulimboka

ni ukweli kwamba hii ndio ajira yako (kuchafua chadema) MWOGOPE MUNGU kushuhudia uongo SOTE TUTAKUFA si lazima kutumia uzushi ili kupata kipato YOU ARE A MAN FIGHT usipende vya bure vina gharama
 
So painful

mpaka kula nimeshindwa, kwani lakin MVUNGI pasipo mapenzi ya mungu, ila tumetoka mavumbini natutarudi mavumbini pia but kwaaliyetuma dr afanyiwe hivyo mungu atajibu tu maombi..... Inauma sanaaaaaaaaaaaaaaa, pls kova dont cm with another movie kaa utulie kwan jana nimekuona mpaka unapata kigungumizi kwa uongo, kwan walio mteka sio hao.
 
aheri mi nisiye na akili,kulikon ww mwenye nazo lakin umezikalia!!narudia tena kamwe hatutanyamazia upumbav na upuuzi mnaowafnyia wananchi.Chadema mauwaji yote yakutatanisha nyie ndo mnaohusika,na nawahakikishien hamtakaa muingie ikulu kuongoza nchi.mtaishia kwenda kunyw juice tu wauwaji wakubwa nyie.

Wewe ni -------- usiyejua ulisemalo.

Jiulize haya:

1. Je, unajua kazi ya vyombo vya usalama TZ?

2. Ni mara ngapi umewahi kuripoti matukio ya uhalifu, husani yanayofanywa na CDM kama unavyojaribu kupotosha watu hapa?

3. Ni chama kipi kinatawala TZ na ambacho kodi zetu tunalipa kwao ili watuhakikishie usalama wetu na mali zetu?

Sio kila wakati ni SIASA tu, kama unao ushahidi hata wa kimazingira peleka polisi utafanyiwa kazi ipasavyo, na sio kuleta porojo cha chooni.
 
Habari mbaya sana jamani.

Mwenyenzi MUNGU mwingi wetu wa Rehema amlaze Dr Mvungi mahala pema peponi katika shamba lake BWANA WETU.

Waliofanya uharamia huu mpaka kumpelekea mauti huyu Dr Mvungi ingependeza wakifikishwa mbele ya SHERIA.
 
Mwanga wake akuangazie na raha ya milele akupe Mungu ewe mpendwa wetu Dr. S. Mvungi mawazo yako na michango yako tutaienzi. Pumzika kwa amani.
 
bila shaka ccm ndo watakuwa wa kwanza salamu za rambi rambi! Tusisahau pia kuwa ccm ni mabingwa wa kuhudhuria misiba ya watu maarufu.

Lakini je wanaweza kujinasua na kifo hiki? Kama mjumbe wa tume ya katiba anauwa na vibaka itakuwaje kwa raia wa kawaida? Wajumbe wa tume wamekuwa wakilindwa muda wote imekuwaje kwa mvungi? Au ni baada ya kupendekeza serikali tatu?

Lakini uvamizi huu tunautofautishaje na wa kibanda au ulimboka? Je tunakumbuka maneno aliyosema mbatia bungeni? Kwa nini haridhiki kwamba ule ni uvamizi wa majambazi kawaida?

Tutarajie mkanda wa mkenya mwingine kuhusishwa au mara hii atakamatwa mchina, maana juzi tuliona wa pembe za ndovu msishangae kuona wa mauaji!

mkuu utasikia slogan zao tumejiandaa kwa kila kitu!!! Hebu wewe fikiria inakuja kweli watu wanauawa halafu tunajivuna eti serikali imejidhatiti kwa kuilinda nchi yetu na raia wake! Basi tunapokwenda si juzuri kwani labda itokee kwa wenyewe ndipo kengere ya sisi walala hoi itasikika
 
Back
Top Bottom