Ng`wanakidiku
JF-Expert Member
- Apr 18, 2009
- 1,195
- 232
Ilitakiwa impatie ulinzi maana anatembea na nyaraka nyeti
Amekufa kutokana na kazi ya kuhuisha roho ya taifa? Ina maana hao waliomvamia wamefanya hivyo kwa sababu ya ujumbe wake wa katiba? Kwani Mvungi ni nani hadi awe na sababu ya kuuawa na asiwe Warioba au jaji Ramadhani?
Hali ya ujambazi ni ya kutisha nchi nzima, na watu wanakufa kila kunapokucha, sema tu kwamba huku mitaani kwetu tukifa, wanaonekana wamekufa panya tu, si polisi wala viongozi wa serikali wanaojitokeza kuonyesha japo maskitiko yao kutokana na kitendo hicho. Juzi tu nilikuwa majohe huku maeneo ya pugu, ujambazi uliopo huko unatisha. Nenda maeneo ya Chanika na rudi ukonga, hadi huko mbezi na kimara. Watu wanazika kila siku kutokana na kuuawa kwa mapanga au risasi. Ila sema tu kwa kuwa hakuna serikali basi tumekuwa tukijizikia ndugu zetu kimyakimya, na hakuna yeyote anayekamatwa kuhusiana na matukio hayo. leo kwa kuwa ameuawa Mvungi tunasema ameuawa kutokana na kazi yake. Hawa wengine wanaokufa kila siku wenyewe huwa wanauawa kutokana na nini? kwanini tusikubali tu kuwa usalama wa nchi hivi sasa ni mbaya? Tukubali ukweli kwamba hali ya nchi yetu ni mbaya, na tunahitaji kuchukua hatua makini kukabiliana nyao na si kusingizia halbari ya kazi yake.
cm ni chama kilichojaa damu za watu wasio na hatia
chadema ndio wanaotakiwa kujibu issue ya dr kupigwa mapanga sha,wao ndo watakuw wahusika wakuu wa hili tukio!huu ni mwendelezo wa ile muvi ya kuteka watu na kuwatesa kama walivyofnya ulimboka
Serikali imesahau sana maeneo ya pembezoni na vijijini, hakuna vituo vya polisi, ukienda vijijini utashangaa.. Km 100 hakuna polisi!? Miaka 50 ya uhuru...
RIP Dr. Mvungi hata mimi amenifundisha Jurispudence. Inabidi ulinzi uimarishwe pembenzoni mwa Dar mfano Goba walimkata mapanga yangu mmoja kwa kuanza na mkato wa msalaba kichwani, mguu na mkono walishindwa kuvitenganisha kasha wakamalizia kwa kumng'oa meno manne (4). Mstaafu mmoja alilawitiwa mbele ya familia na mkewe kubakwa hadharani. Miezi miwili imepita haijulikani kama huyu Mzee amejiuwa au amehama jiji. Hii nguvu ya kung'oa kucha; meno na jicho dhidi ya akina Dr. Ulimboka na Kibanda tungeilekeza huko Goba; Mbezi Mpigi na maeneo yote hatarishi hapa Dar na kwingineko nchini.
najaribu kuvuta taswira kichwan mwangu namuona kajirita anashikwa makalio ametulia tuli haangaiki,naona mwanaume mwenzie anakuja anamuwekea dushelele lake