TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

Mungu Mpumzishe kwa Amani Mja wako.

We will always Love you Dr. Mvungi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Taifa linapopoteza watu muhimu kama Dr. Mvungi kwa sababu mauaji ya 'ujambazi' inasikitisha.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa na jina la Bwana lihimidiwe.

kwenye hili la Dr mvungi bwana alitoa tu lakini hakutwaa , bali wamemuua .
 
It is True, Ni msiba Mkubwa, Msiba wa Kitaifa, Ni simanzi kwa Watanzania wote na hasa wapenda haki, Dr. Mvungi alikuwa mwanasheria nguli aliyebobea kwenye masuala ya katiba (Constitutional Law). Kama Taifa tumepoteza mtu muhimu ambaye Taifa lilikuwa bado linamuhitaji sana hasa katika kipindi hiki ambacho Taifa linajengewa nguzo muhimu ya Katiba. Hakika watanzania tutakukumbuka. RIP dr. Mvungi. Mungu ibariki Tanzania.
 
dah?!
ccm ni zaidi ya shetani!
 
RIP Dr. Mvungi hata mimi amenifundisha Jurispudence. Inabidi ulinzi uimarishwe pembenzoni mwa Dar mfano Goba walimkata mapanga yangu mmoja kwa kuanza na mkato wa msalaba kichwani, mguu na mkono walishindwa kuvitenganisha kasha wakamalizia kwa kumng'oa meno manne (4). Mstaafu mmoja alilawitiwa mbele ya familia na mkewe kubakwa hadharani. Miezi miwili imepita haijulikani kama huyu Mzee amejiuwa au amehama jiji. Hii nguvu ya kung'oa kucha; meno na jicho dhidi ya akina Dr. Ulimboka na Kibanda tungeilekeza huko Goba; Mbezi Mpigi na maeneo yote hatarishi hapa Dar na kwingineko nchini.
 
RIP Dr. Mvungi, kuna Dr ananiambia hapa kwamba South ilipelekwa dead brain!!
 
Back
Top Bottom