Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itatuchukua kipindi kirefu sana kuja kupata asset nyingine kama doctor mvungi...vipi usalama kwa wajumbe waliobaki?..r.i.p doctor...!
Taifa linapopoteza watu muhimu kama Dr. Mvungi kwa sababu mauaji ya 'ujambazi' inasikitisha.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa na jina la Bwana lihimidiwe.
dah?!It is True, Ni msiba Mkubwa, Msiba wa Kitaifa, Ni simanzi kwa Watanzania wote na hasa wapenda haki, Dr. Mvungi alikuwa mwanasheria nguli aliyebobea kwenye masuala ya katiba (Constitutional Law). Kama Taifa tumepoteza mtu muhimu ambaye Taifa lilikuwa bado linamuhitaji sana hasa katika kipindi hiki ambacho Taifa linajengewa nguzo muhimu ya Katiba. Hakika watanzania tutakukumbuka. RIP dr. Mvungi. Mungu ibariki Tanzania.
Alaaniwe aliyemuondoa dokta mvungi.
Vipi usalama kwa Watanzania wote...?