Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
good news kwa kushinda Shein, sio BILAL tu kaanguka! wameanguka Janjaweed na wote waliokuwa tayari kuturudisha kwenye jino kwa jino.
Looking foward to to see free and fair election October 2010.
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM ndio wanaingia sasa katika kikao na kwa sasa upepo wa Dk. Shein unaelekea kumng'aria ila kwa CCM lolote linaweza kutokea
MATOKEO:
Shein kura 117
Bilal kura 54
Nahoda kura 33
![]()
good news kwa kushinda Shein, sio BILAL tu kaanguka! wameanguka Janjaweed na wote waliokuwa tayari kuturudisha kwenye jino kwa jino.
Looking foward to to see free and fair election October 2010.
naiona picha kwa mbaliPicha iko hivi, Shein atakuwa na nafasi tena ya kugombea Muungano 2015! atakuwa the most qualified.. na hivyo ulinzi wa Mkapa na Kikwete utakuwa kamili tena.
sijui lakini nilidhani kura za mwisho zinapigwa na mkutano mkuu, majina hayo matatu ndiyo yatapelekwa kwa mkutano mkuu.. naomba kusahihishwa.