Elections 2010 Dr. Shein aibuka kidedea; kuiwakilisha CCM urais Zanzibar 2010

Elections 2010 Dr. Shein aibuka kidedea; kuiwakilisha CCM urais Zanzibar 2010

ni kweli wangeachiwa CCM ZNZ wenyewe wachague na si Bara, hii inazidi kuleta Mpasuko ZNZ.
 
good news kwa kushinda Shein, sio BILAL tu kaanguka! wameanguka Janjaweed na wote waliokuwa tayari kuturudisha kwenye jino kwa jino.
Looking foward to to see free and fair election October 2010.

Mkuu kote huko umeongea vizuri sana na ninakubaliana nawe ile kwenye bold hapo free and fair election Zenj na Tanzania kwa ujumla, ataipata mjukuu wa mkujuu wa mjukuu wa mjukuu wa mjukuu wa mjukuu wa Maalim Seif na si yeye.
 
There are currently 261 users browsing this thread

Wote hawa wanafuatilia uteuzi wa wazenji?

Mimi yeyote nasema atakayechaguliwa Zenji sawa tu. Kwanza hawana usemi kwenye utawala hao watawala wa Zenji. Mwenye mamlaka ya mwisho ni JK.

Natamani kusikia mpambano wa JK na Lipumba na mgombea wa Chadema.

Bado nina hamu ya kuona mdahalo kati ya wagombea wa 'sisi m' CUF na CHADEMA katika kinyang'anyiro cha urais URT
 
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM ndio wanaingia sasa katika kikao na kwa sasa upepo wa Dk. Shein unaelekea kumng'aria ila kwa CCM lolote linaweza kutokea

MATOKEO:

Shein kura 117
Bilal kura 54
Nahoda kura 33

b669l3.jpg

Haya ndo matokeo tuliyoyatarajia. Kwa uwingi wa wabara ilikuwa ni lazima Shein ashinde. Lakini naamini Shein si chaguo la Wazanzibari. Tuombe Mungu yasitokee machafuko.
 
good news kwa kushinda Shein, sio BILAL tu kaanguka! wameanguka Janjaweed na wote waliokuwa tayari kuturudisha kwenye jino kwa jino.
Looking foward to to see free and fair election October 2010.

:washing: shein kama shein nampenda kwa upole wake but fair an free uchaguzi sahau kuna wana mwananyamala na tandika watapelekwa zenji na maalim atagaragazwa tuuuu. ni aje hali ya komandooo na uhafidhina wake hajaondoka tu???
 
sijui lakini nilidhani kura za mwisho zinapigwa na mkutano mkuu, majina hayo matatu ndiyo yatapelekwa kwa mkutano mkuu.. naomba kusahihishwa.
 
MKJJ ...Mkutano Mkuu ni kupiga rubber stamp tu....
 
Sijaelewa kwa nini watu wengi wemejitahidi kuwa akina Tomaso kwenye mambo yaliyokuwa wazi na nje nje. Nimesema mapema leo na hata Mwiba amesema pia. Kitendo cha Makamu wa Rais ambaye labda angeweza kupewa tena nafasi ya kuwa mgombea mwenza au kustaafu kuamua kugombea urais Zenji lilikuwa suala ambalo watu wengi walitakiwa kusoma kila kitu kwenye ubao mweupe (white board). Asingeweza kwenda kichwa kichwa bila kutumwa na boss wake. Na kama angeshindwa ingekuwa ni kushindwa kwa boss wake pia.

ZNZ hakuna tena lingine wanalotakiwa kusubiri. Hakuna cha CUF wala nini, wasubiri mzee wa watu mpole akalambe mizinga yake 21 baada ya October 31. ZNZ na TZ kwa ujumla huwa hakuna uchaguzi bali ni fix tu. Kwa hiyo Dr Shein ni Rais wa SMZ kwa miaka 10 ijayo. Kwa hili mtu hana sababu ya kuwa Tomaso!
 
Picha iko hivi, Shein atakuwa na nafasi tena ya kugombea Muungano 2015! atakuwa the most qualified.. na hivyo ulinzi wa Mkapa na Kikwete utakuwa kamili tena.
 
sijui lakini nilidhani kura za mwisho zinapigwa na mkutano mkuu, majina hayo matatu ndiyo yatapelekwa kwa mkutano mkuu.. naomba kusahihishwa.

Mzee MM;

Mkutano mkuu maalum hauna kitu kwa rais wa Zanzibar. Yaani Shein akitoka hapa anasubiri kipenga cha mwisho tu kuanza kampeni. Kwa mgombea wa URT yeye hatma yake ni mpaka mkutano mkuu maalum.
 
Zanzibar imechaguliwa mgombea wao ambaye ni dr shein, wajumbe maoni na taharifa za mgombea na sifa zake tuanze kumchambua mabaya na mazuri yake
 
ongera saana dr shein, uzalendo ndo uwe mbele ktk kujenga zanzibar yenye amani.
 
Ushauri kwa wale wote walioshidwa, lazima mwishoni angepatikana mshindi mmoja tu,Hivyo hawana budi kumuunga mkono aliyeshinda ili ,mdumishe amani mliyonayo kwa sasa. Acheni siasa za chuki kwani cku zote wanaoumia na kuthirika ni wale wananchi wa chini ila kwa wale wanaoanzisha siasa hizo wote huwa na usalama cku zote. Msimwage damu maana hiyo inaonyeha kuwa ni uchu wa madarak-maaana kuna usemi usemao-kwa nini asiwe mwingine uwe wewe? Tafakarini saana, acheni kuwagawa wananchi,Nyote lazima muwe wamoja.
 
Wajumbe tumjadili dr shein sifa na matatizo yake na je nini ataifanyia zanzibar au maslahi ya zanzibar na taifa kwa ujumla
 
Tunasubiri kibiriti cha daktari Bilali kitikiswe si pale Kisiwandui walisema patakuwa hapatoshi kama Bilali hatapitishwa au ndio ilikuwa tishia nyau,lo sasa ndoto za Bilali ndo kwishnei jamani mzee wa watu kasubiri miaka kumi sasa sijui atasubiri mingine kumi,au aje afundishe Fizikia chuo kikuu cha Dr Kisanji pale Mwanjelwa Mbeya
 
Hivyo ndivyo Mafia ya ccm inavyofanyakazi na sasa ndio kazi imeanza mpasuko utageuka kuwa mipasuko huko zenj!! Nyie ngojeni tu!!
 
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM ndio wanaingia sasa katika kikao na kwa sasa upepo wa Dk. Shein unaelekea kumng'aria ila kwa CCM lolote linaweza kutokea

MATOKEO:

Shein kura 117
Bilal kura 54
Nahoda kura 33

b669l3.jpg

Ndugu yangu Halisi, thanks a lot kwa information tupo pamoja na wananchi wengine wote JF asalam waleikum ndugu zangu, muwe na amani! Kwa herini ya kuonana tena!

FMES!
 
Mie ninamtazamo mwingine kwenye hili. CCM sio punguani kama wengi tunavyodhani. Wanajua fika kuwa Shein ni Mpemba kwa hiyo kuweka Mpemba kunapunguza nguvu ya CUF maana tayari wameshawekewampemba mwenzao, watawaambia tuchagueni halafu tutaunda serikali ya mseto. Pia ndoto ya JK ya kutafuta suluhu la mpasuko nadhani sasa amefanikiwa km alivyoahidi. Maana anahakika Shein mpemba hawezi kuwa na kigugumizi km Waunguja.
 
Habari,zinasema ni Dk. Shein ndie mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM.baada ya kuwashinda Dr Bilal na Vuai kwa kupata kura 115, Dr.Bilal 54, na Vuai 34.Basi ndugu na tumuungunge mkono ingawa kazi itakuwa kazi sana kati yake na Shariff wa CUF.Kwa msingi huu CCM inabidi wajipange haswa vinginevyo CUF wanachukua kiti bila shida,kwani mh.huu akubaliki.Pia ningemwomba Dk. Bilal akubali matokeo bila ya kuanzisha makundi ya kura za maruhani.Maana alishasema mwaka huu asipopewa yeye basi CCM watajuta.Hiyo ndio demokrasia kura hazikutosha jaribu tena 2015 ishaalaa.kura zitoshe.
 
Back
Top Bottom