Taarifa zimefika!
Hao Wachina wametujengea vitu vingapi hapa hapa Bongo? Sasa watashindwaje?kwani lazima tujenge wenyewe??Wachina wamejenga daraja refu kama hilo.
Lakini hao ni wachina, sio sisi.
Kwa sababu mmenunua videge huku deni la taifa likizidi kuongezeka ndio mnaamini mnaweza kujenga daraja bara na Zenji. Kweli nyie wapuuzi ndio walewale mliosema heri waTanzania wale majani lakini ndege ya rais inunuliwe wakati huo huo mkijisahaulisha kuwa ccm inapokea mabilioni ya fedha kama ruzuku lakini bado inaiba fedha za hao hao wananchi benki Kuu kugharamia uchaguzi.Your comment shows how short minded you are. Kwanini isiwezekane daraja kujengwa daraja kati ya Zanzibar na Tanzania Bara? Kwasababu Chadema imeshindwa kujenga ofisi za chama unafikiri basi wengine hawawezi kufanya mambo makubwa? Pumbavu!
Nimeandika nikiwa kwenye daladala inatembea njia za mashimo mashimo. Hizi barabara za ccmPythagoras mbona umeandika nini? Si ungeacha kuandika ili usijiabishe? Yaani kwakuwa barabara za Unguja sio nzuri basi haiwezekani kujenga daraja? Muonee huruma babaako kama alikupeleka shule!!!
Hilo lingine linawezekana ila la daraja hebu tuache dunia ipite
Flight gani hiyo?Duuh flight time from JNIA to Zanzibar is almost 25 minutes... Sasa iweje hiyo surface distance Ununio to Zanzibar iwe 20 km tu??
Hilo lingine linawezekana ila la daraja hebu tuache dunia ipite
Huo ni upande wa Unguja, huku Dar hakuna hayo mambopale bandarini zanzibar pana mambo yanakera sana. Kuna uuzaji wa tiketi za ulanguzi kwa uwazi kabisa hasa tunaotaka usafiri wa Dar, hii inaumiza sana na ni kero mojawapo kwangu. Unaweza kulazimika kununua ticket kwa 50,000/= wakati ulitaka economy class 25,000/=
Hata ukienda Fumba, tegeta unaiona nyakati za jioniUkiwa pale Ununio kijijini taa zikiwashwa usiku Zanzibar unaziona bwashee!
same to Tanga Unguja haizidi km20Kutoka Ununio hadi Unguja ni km 20 tu!