Dr Shein: Tunaandaa rasimu ya kuwatambua Watanzania wanaoishi nje kisheria, tutajenga Daraja la Zanzibar - Bara

Dr Shein: Tunaandaa rasimu ya kuwatambua Watanzania wanaoishi nje kisheria, tutajenga Daraja la Zanzibar - Bara

Ni uzembe wake,ukitaka boat lazima ufanye booking ya uhakika ofisini kwao,hizi tickets za ukanguzi ni za waliochelewa boat au kucancel safari,sasa yeye anafika tickets zimeisha na anataka kusafiri kwanini walanguzi wasimwuzie wakati kule ofisi halali zishaisha level seats imejaa ,ni uzembe wake tu huyo
Taarifa zimefika!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachina wamejenga daraja refu kama hilo.

Lakini hao ni wachina, sio sisi.
Hao Wachina wametujengea vitu vingapi hapa hapa Bongo? Sasa watashindwaje?kwani lazima tujenge wenyewe??
Soma hapo chini uongeze maarifa.....

The Lake Pontchartrain Causeway is theworld's longest continuous bridge over water. The world's longest bridge is the Danyang–Kunshan Grand Bridge in China, part of the Beijing-Shanghai High-Speed Railway. Thebridge, which opened in June 2011, spans 102.4 miles (165 kilometers).Feb 28, 2013
1576440688865.png

Live Science: The Most Interesting Articles, Mysteries & Discoveries › 3444...
Worlds Longest Bridge | Longest Bridge in the World | Live Science
 
Mtoa mada umekurupuka kutuletea hii mada, muwasilishaji mada amewasilisha wazo lake kwa washiriki wa kongamano, kuonesha uwezekano wa kujengwa daraja "floating bridge", muasilishaji alionesha mifano mbalimbali duniani ya madara yaliojengwa kwa kutumia teknolojia hiyo yakiwemo madaraja ya sweden na china.

Aidha, aliziomba serikali zote mbili kutoa ruhusa ya wataalam wa kampuni husika kutoka Sweden, kufanya upembuzi yakinifu kuhusu kujengwa kwa Daraja la namna hiyo litakalo toka Dar es salaam hadi kisiwani Unguja, na akaeleza kuwa mara tu serikali zitakapotoa ruhusa hiyo kampuni itaanza kufanya upembuzi huo tena kwa kutotumia fedha za serikali. Muasilishaji mada aliongeza kuwa shughuli ya upembuzi yakinifu na tathmini ya kitaalumu kuhusu kujengwa daraja la namna hiyo linakadiriwa kuchukua miezi sita hadi miaka miwili.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Your comment shows how short minded you are. Kwanini isiwezekane daraja kujengwa daraja kati ya Zanzibar na Tanzania Bara? Kwasababu Chadema imeshindwa kujenga ofisi za chama unafikiri basi wengine hawawezi kufanya mambo makubwa? Pumbavu!
Kwa sababu mmenunua videge huku deni la taifa likizidi kuongezeka ndio mnaamini mnaweza kujenga daraja bara na Zenji. Kweli nyie wapuuzi ndio walewale mliosema heri waTanzania wale majani lakini ndege ya rais inunuliwe wakati huo huo mkijisahaulisha kuwa ccm inapokea mabilioni ya fedha kama ruzuku lakini bado inaiba fedha za hao hao wananchi benki Kuu kugharamia uchaguzi.
 
Sijui haya yamekujaje hapa ?

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukiangalia nje ya box utaona uhusiano wa SMZ na serikali ya Muungano kutaka kujua 'wafadhili' wa huyu Kiongozi wa Watu na matamko mawili toka wizara ya mambo ya ndani uhamiaji kujua waTanzania wa diaspora na siasa za Tanzania
 
Kwanini kusijengwe underground railway kutoka Nungwi to Mkowani Pemba ?

Km1 sawa na 4.4milion dola kwa 60 km to pemba sawa na 264 milion dola.

Good investment kwa wazanzibari kwa visiwa vyetu
 
Mr What,
Nadhani unakosa uelewa wa 'kujengewa' na 'kujenga.'

Unataka akujengee daraja kama hilo wewe kama nani?

TAZARA was an exception; and that was then; this is now!
 
Yamakagashi,
Kweli hakuna lisilowezekane kwa wana wa Mungu. Lakini, ebu tuwe wakweli tu chifu, kwa CCM hii iliyoshindwa kutatua tatizo hata moja toka Uhuru ndiyo iwezekane?
 
pale bandarini zanzibar pana mambo yanakera sana. Kuna uuzaji wa tiketi za ulanguzi kwa uwazi kabisa hasa tunaotaka usafiri wa Dar, hii inaumiza sana na ni kero mojawapo kwangu. Unaweza kulazimika kununua ticket kwa 50,000/= wakati ulitaka economy class 25,000/=
Huo ni upande wa Unguja, huku Dar hakuna hayo mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom