Dr. Shika aanza kuonesha makucha baada ya kupokea zaidi ya Tzs 130bn

Sasa mumkamate tena, maana mnajua kupoteza muda sana na mambo yaso msingi.
 
Huyu Dr Luis shika bado tu anaendesha akili za watu
 
Huyu tapeli tu .....BOT wamesema hakuna fedha iliyoingizwa nchini ya huyo mpmbv shik@
Huyo anataka tu kuchezea akili za watu

Ova
 
Halafu ukiisikiliza ile interview ya kusafirisha hela kutoka Airport - BOT - ECO Bank head office - ECO Bank branch unajua tu ni famba.

Kama una account ECO Bank Branch A, hela ikienda Head Office ambapo pana Branch unadeposit hapo hapo.
Kwanza BOT, Sidhani Kama Kuna Account Za Wateja Wa Nje
 
Nikimuona Mama yake Hamisa ama Hamisa mwenyewe anajipendekeza kwa Dr. Shika ndipo nitajuwa kuwa ni kweli.
 
BOT wamesema hawajui chochote kuhusu huyu jamaa kupokea hizo fedha
 
Yuko smart huyu dingi na tai zake hahahahahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…