Dr. Shika aanza kuonesha makucha baada ya kupokea zaidi ya Tzs 130bn

Dr. Shika aanza kuonesha makucha baada ya kupokea zaidi ya Tzs 130bn

Sasa mumkamate tena, maana mnajua kupoteza muda sana na mambo yaso msingi.
 
Huyu Dr Luis shika bado tu anaendesha akili za watu
 
Huyu tapeli tu .....BOT wamesema hakuna fedha iliyoingizwa nchini ya huyo mpmbv shik@
Huyo anataka tu kuchezea akili za watu

Ova
 
Halafu ukiisikiliza ile interview ya kusafirisha hela kutoka Airport - BOT - ECO Bank head office - ECO Bank branch unajua tu ni famba.

Kama una account ECO Bank Branch A, hela ikienda Head Office ambapo pana Branch unadeposit hapo hapo.
Kwanza BOT, Sidhani Kama Kuna Account Za Wateja Wa Nje
 
Nikimuona Mama yake Hamisa ama Hamisa mwenyewe anajipendekeza kwa Dr. Shika ndipo nitajuwa kuwa ni kweli.
 
Dr. Louis Shika Kid amepokea sehemu kidogo ya mpunga wake $60m kama shilingi bilioni 130 na zaidi za madafu. Dr. Shika amesikika akisema ''Tutaelewana''. Sasa amehama makazi na sasa anaishi makazi bora kabisa ambayo ni ghorofa ambalo kwa ndani linaonesha si haba.

BOT wamesema hawajui chochote kuhusu huyu jamaa kupokea hizo fedha
 
Dr. Louis Shika Kid amepokea sehemu kidogo ya mpunga wake $60m kama shilingi bilioni 130 na zaidi za madafu. Dr. Shika amesikika akisema ''Tutaelewana''. Sasa amehama makazi na sasa anaishi makazi bora kabisa ambayo ni ghorofa ambalo kwa ndani linaonesha si haba.

Yuko smart huyu dingi na tai zake hahahahahaaa
 
Back
Top Bottom