Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Uzuri ni kuwa, mvamizi amekaribia kukabidhiwa containers zake.
Hahshahaha... Kwani hujui?unafanya nini tabata?
heeeeeeeeeeeeeeee sijui utakuwa tu umichipuka ha ha ha nipo bwanaHahshahaha... Kwani hujui?
Nimekumiss tho
Na hela gani hizo zinakuja ka magauni ya China..?siku hizi kuna transfers tu...sanasana BoT na Benki yako wakuite utolee maelezo hizo pesa baasHalafu ukiisikiliza ile interview ya kusafirisha hela kutoka Airport - BOT - ECO Bank head office - ECO Bank branch unajua tu ni famba.
Kama una account ECO Bank Branch A, hela ikienda Head Office ambapo pana Branch unadeposit hapo hapo.
Na hela gani hizo zinakuja ka magauni ya China..?siku hizi kuna transfers tu...sanasana BoT na Benki yako wakuite utolee maelezo hizo pesa baas
Kaonesha makucha yapi sasa?
HUyu yupo hapo kimkakati. Hana tofauti na Gk Shikasi alizikana? huyu na mjomba wake alubadili innawatesa kweli hawa ndo viongozi wa watu wasiojulikana hawa