Dr. Shika aanza kuonesha makucha baada ya kupokea zaidi ya Tzs 130bn

Dr. Shika aanza kuonesha makucha baada ya kupokea zaidi ya Tzs 130bn

Halafu ukiisikiliza ile interview ya kusafirisha hela kutoka Airport - BOT - ECO Bank head office - ECO Bank branch unajua tu ni famba.

Kama una account ECO Bank Branch A, hela ikienda Head Office ambapo pana Branch unadeposit hapo hapo.
Na hela gani hizo zinakuja ka magauni ya China..?siku hizi kuna transfers tu...sanasana BoT na Benki yako wakuite utolee maelezo hizo pesa baas
 
Na hela gani hizo zinakuja ka magauni ya China..?siku hizi kuna transfers tu...sanasana BoT na Benki yako wakuite utolee maelezo hizo pesa baas

Settlement zinafanyika BOT juu kwa juu.

Wewe hela utaiona kwenye account baada ya kukamilisha taratibu za Money Laundering.
 
Back
Top Bottom