OGUNDHA
Member
- Sep 29, 2013
- 33
- 3
umeona eee!Kupinga posho ya shi ngapi. Zito alikuwa anavuta ndefu ndio maana ile akaacha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeona eee!Kupinga posho ya shi ngapi. Zito alikuwa anavuta ndefu ndio maana ile akaacha.
Mkuu.
Zitto ni Mbunge wa Mahakama
Kama hamjui siasa msitupotezee muda huku jukwaani, kwani hamjui kuna mambo ya faragha a.k.a chumbani na mambo ya hadharani ?
Kwa hiyo mlitaka dokta aongee mbele ya umati wa watu kuwa anaunga mkono posho ?
Unafikiri kwa mfano suala la kujikopesha ruzuku lilipofikishwa kwa wanainchi na wambea, lilimpendeza babu ?............ishu kama hizo kwenye siasa tunaita mambo ya faragha a.k.a ya chumbani.......lakini unapoenda jukwaani au hadharani lazima utoe povu kupinga ufisadi...........
Na hiyo ndio siasa.....
Huyu babu hajitambui ni wa kumsamehe tu.Akiwahutubia wananchi leo mjini iringa katika uzinduzi wa kampeni za jimbo la kalenga DK slaa amesema atazunguka nchi nzima kupinga posho kuongezeka zaidi ya laki tatu. nimestuka huyu amesahau ndani ya chama chake mh lema alijitokeza wazwazi kumpinga mh Zitto kuhusu suala la posho vilevile mbunge selasini aliweka wazi kuwa anaunga mkono suala la posho kuongezeka likamalizikia kwa shibuda aliesema anashangaa mtu kukataa posho.
Wabunge hwawa walidai watachukua posho za bunge licha ya chama kuweka msimamo wa kupinga posho lakini sikusikia hata siku moja akiwakemea au kuwaandikia barua kutoa onyo kwa kwenda kinyume na msimamo wa chama.
Cha kushangaza nikuwa DK slaa alipoombwa kugombea uraisi alikumbuka posho za kibunge na kuweka masharti ya kulipwa km mbunge ndipo agombee. je uzalaendo wako kimsingi ukowap juu yaposho na maslahi binfsi.
Source: ITV News
,huna lolote unalolijua wewe soma kauli ya mkuu mbowe na huieleweNdani ya chadema kiongozi makini ni zitto pekee, wengine chenga tupu
Akiwahutubia wananchi leo mjini iringa katika uzinduzi wa kampeni za jimbo la kalenga DK slaa amesema atazunguka nchi nzima kupinga posho kuongezeka zaidi ya laki tatu. nimestuka huyu amesahau ndani ya chama chake mh lema alijitokeza wazwazi kumpinga mh Zitto kuhusu suala la posho vilevile mbunge selasini aliweka wazi kuwa anaunga mkono suala la posho kuongezeka likamalizikia kwa shibuda aliesema anashangaa mtu kukataa posho.
Wabunge hwawa walidai watachukua posho za bunge licha ya chama kuweka msimamo wa kupinga posho lakini sikusikia hata siku moja akiwakemea au kuwaandikia barua kutoa onyo kwa kwenda kinyume na msimamo wa chama.
Cha kushangaza nikuwa DK slaa alipoombwa kugombea uraisi alikumbuka posho za kibunge na kuweka masharti ya kulipwa km mbunge ndipo agombee. je uzalaendo wako kimsingi ukowap juu yaposho na maslahi binfsi.
Source: ITV News
Mambo ya posho hayo.Kama hamjui siasa msitupotezee muda huku jukwaani, kwani hamjui kuna mambo ya faragha a.k.a chumbani na mambo ya hadharani ?
Kwa hiyo mlitaka dokta aongee mbele ya umati wa watu kuwa anaunga mkono posho ?
Unafikiri kwa mfano suala la kujikopesha ruzuku lilipofikishwa kwa wanainchi na wambea, lilimpendeza babu ?............ishu kama hizo kwenye siasa tunaita mambo ya faragha a.k.a ya chumbani.......lakini unapoenda jukwaani au hadharani lazima utoe povu kupinga ufisadi...........
Na hiyo ndio siasa.....
Mambo ya posho hayo.