Pre GE2025 Dr Slaa: Kilichonitoa CHADEMA 2015 sasa hakipo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bonge la Trojan! Karibu Chadema bwana Slaa lakini uwezo wako wa kuharibu kwa sasa ni mkubwa kuliko wa kujenga
 
Bonge la Trojan! Karibu Chadema bwana Slaa lakini uwezo wako wa kuharibu kwa sasa ni mkubwa kuliko wa kujenga
Dr Slaa amechangia kukuza viongozi wengi CDM na kuwajenga kina Zitto, Mnyika, Lema, Mdee nk nk!

Sasa akijenge chama Kwa JASHO na Damu ,iweje tena akihujumu?

Waliohujumu chama wamekataliwa kwenye uchaguzi uliopita.

Dr Slaa ni victor!
 
Ndio mzalendo Hasa. Hilo nalo ni LA kujadili?
Si ndiye aliyejenga International Airport kwao chato na kutupiga 1.5 tr na kumfukuza CAG baada ya kuumbuliwa. Na ndiye huyo huyo sababu ya kupotea kwa Ben saa nane kisa PhD fake. Wewe kwako unamuona mzalendo, aissee duniani kuna mambo
 
2. Je ni Mwenyekiti mstaafu?
Wenyeviti wastaafu Chadema ni wawili tuu, mzee Mtei na Makani Bob.

Mbowe hajastaafu, amenyimwa kura za kuendelea na uenyekiti. Amekataliwa, tuache politiksi.

Labda sasa atangaze amestaafu siasa lakini kwenye uenyekiti huyu sio mstaafu. Vipi kama angeshinda leo tungesemaje?
 
Basi tuseme ni Mwenyekiti aliyestaafishwa na wanachama kupitia Sanduku la kura.
 
Kwa uzee huo alionao sioni kama ana anachoweza kuvuruga! Huyo katoka huko alikoachiwa sasa ana hasira na anatafuta jukwaa la kuonyesha hasira zake!
 
Uchaguzi utakaofanyika baada ya kupatikana Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya,

Lini, Watanzania tutaamua.
Mkuu, achana na mambo ya Eutopia.
 
Dah inasisimua kwenda kwenye ukweli hv mzee 80s atafanya nn nchi hii
 
Kwa uzee huo alionao sioni kama ana anachoweza kuvuruga! Huyo katoka huko alikoachiwa sasa ana hasira na anatafuta jukwaa la kuonyesha hasira zake!
Hasira njema,

Maana tumeruhusiwa kukasirikia UOVU ila tusiende dhambi.

Kuchukia UOVU wa CCM ni Haki kabisa.
 
Kwa hiyo kesho kikitokea kitu hakipendi atakimbia tena Chadema? huwezi kukifanya chama kama mke lini unatoa talaka na lini unamuowa tena. Chama ni kuvumilia hata kama yako yamekukwaza lakini wengi wameunga mkono huna budi kwenda nao ndio maana ya demokrasia. Ukinuna unaondoka ukifurahi unakuja.
 
Self centered old fert

Aseme pia kilichompeleka ccm sasa hakipo
 
Kuna watu humu wanamuona Dr Slaa msaliti,

Sasa kati ya Mbowe na Slaa, nani msaliti!

Dr Slaa arejeshwe CDM haraka CDM, ni mshindi.
Wote wasaliti tu

Huyu babu alibariki risasi Kwa Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…