Elections 2010 Dr. Slaa kujibu maswali "Live" ITV saa moja Usiku Jumamosi Hii

Ukimuuliza swali la kifamilia maana yake unakubariana na sera za chadema %100. Habari ndo hii.
 
asante mdau kwa habari yako.naamini kwenye mdahalo huo mambo yataenda vyema,muongozaji ni Jenerali Ulimwengu,mtu wa kuuliza maswali ni Jemedari Dr.Slaa.Hapa hakuna haja ya kuhofu,hapa ni kichwa kwa kichwa.
 

Udaku.What's the credibility of the source of this information???!!!
 
teha teha tehee....nlipoona tu started by......!!!hahahaaaaaaaaaa!!!
 
hahahaaaaa.... LOL!!!

Nimemuangalia slaa, he has unique qualities!!! subiri uone atakavyopangua hoja zinazoudhi, he is second to none on that one

Naomba Mungu kila swali linalokera, alijibu kwa swali linalokera, kwani he is pretty good at that too
 
 
yote yanawezekana hasa katika nchi km yetu,hujuma ni sehemu ya siasa.
 
sasa hivi kwenyewe tangu hasubuhi umeme umeshakatika mara 3 kweli nimekubali ila nasubiri ifike hiyo saa 1 ili nitie tiki
 
Wana jf tuurushe mdahalo huu hewani..itakuwa poa sana..
 
wow,hata sitoki jioni mimi na tv tu,kukiwa na mgao wana jf muwe active maeneo haya kuleta mambo
 

Mimi ningeshauri aende one step further. Chama kinunue airtime on all major TV and Radio Stations Saturday usiku wa kuamkia tarehe 31, ahutubie watanzania wote na kuwapa kwanza shukrani na kuwahimiza wapige kura kwa kumchagua kiongozi makini ambae ataliondolea taifa hili janga la umaskini
 
kukiwa na mgao nadhani vijana wa hapa watakuwa wanatumwagia updatees kama kaaaaaaaaaaaawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…