DCONSCIOUS
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,269
- 473
Ukimuuliza swali la kifamilia maana yake unakubariana na sera za chadema %100. Habari ndo hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muda siyo mrefu nimepokea ujumbe unaosomeka hivi '' tujipange vizuri youthleague wote nchi nzima....wasomi...walimu wa vyuo vikuu...makada...wajumbe wa baraza kuu n.k...kumuuliza maswali ambayo yatamuudhi kwenye mdahalo wa itv jumamosi...yale ya usemasema uongo...ugoni na wake za watu...alivyoacha upadre,kufukuzwa ukatibu chama cha walemavu na sababu zake@n.k jipange vizuri ili chadema wasipate nafasi ya kupiga simu za kumjenga.mdahalo unaanza saa1 jioni.''
aliyeniforwadia ni kada wa chichiEM na ameniambia anayesambaza imean source ni mtoto wa mmoja wa wagombea urais na kiongozi wa umoja wa vijana wa chama kimojawapo kikubwa.
mytake/:
nawashukuru kwa kuwa wanasaidia kusambaza ujumbe ili watu wengi wasikilize mdahalo huo ambao naamini dr atawawin wote watakaompa muda wa kumsikiliza. hoja hizo ni nyepesi sana na ana majibu ya hoja zote hizo. wadau kazeni mwendo wa kusambaza ujumbe watu wasikilize mdahalo huu...mwamko wa mabadiliko ni mkubwa sana nchi nzima,kuchukua nchi ni very possible. Vote dr Slaa.
scrap!kwenye ITV ya wachaga???? hakyanani stazami
Udaku.What's the credibility of the source of this information???!!!
Hilo la umeme likitokea sitashangaa kabisa, na si ajabu ukakatika siku chache kabla ya uchaguzi
hahahaaaaa.... LOL!!!muda siyo mrefu nimepokea ujumbe unaosomeka hivi '' tujipange vizuri youthleague wote nchi nzima....wasomi...walimu wa vyuo vikuu...makada...wajumbe wa baraza kuu n.k...kumuuliza maswali ambayo yatamuudhi kwenye mdahalo wa itv jumamosi...yale ya usemasema uongo...ugoni na wake za watu...alivyoacha upadre,kufukuzwa ukatibu chama cha walemavu na sababu zake@n.k jipange vizuri ili chadema wasipate nafasi ya kupiga simu za kumjenga.mdahalo unaanza saa1 jioni.''
aliyeniforwadia ni kada wa chichiEM na ameniambia anayesambaza imean source ni mtoto wa mmoja wa wagombea urais na kiongozi wa umoja wa vijana wa chama kimojawapo kikubwa.
mytake/:
nawashukuru kwa kuwa wanasaidia kusambaza ujumbe ili watu wengi wasikilize mdahalo huo ambao naamini dr atawawin wote watakaompa muda wa kumsikiliza. hoja hizo ni nyepesi sana na ana majibu ya hoja zote hizo. wadau kazeni mwendo wa kusambaza ujumbe watu wasikilize mdahalo huu...mwamko wa mabadiliko ni mkubwa sana nchi nzima,kuchukua nchi ni very possible. Vote dr Slaa.
muda siyo mrefu nimepokea ujumbe unaosomeka hivi '' tujipange vizuri youthleague wote nchi nzima....wasomi...walimu wa vyuo vikuu...makada...wajumbe wa baraza kuu n.k...kumuuliza maswali ambayo yatamuudhi kwenye mdahalo wa itv jumamosi...yale ya usemasema uongo...ugoni na wake za watu...alivyoacha upadre,kufukuzwa ukatibu chama cha walemavu na sababu zake@n.k jipange vizuri ili chadema wasipate nafasi ya kupiga simu za kumjenga.mdahalo unaanza saa1 jioni.''
aliyeniforwadia ni kada wa chichiEM na ameniambia anayesambaza imean source ni mtoto wa mmoja wa wagombea urais na kiongozi wa umoja wa vijana wa chama kimojawapo kikubwa.
mytake/:
nawashukuru kwa kuwa wanasaidia kusambaza ujumbe ili watu wengi wasikilize mdahalo huo ambao naamini dr atawawin wote watakaompa muda wa kumsikiliza. hoja hizo ni nyepesi sana na ana majibu ya hoja zote hizo. wadau kazeni mwendo wa kusambaza ujumbe watu wasikilize mdahalo huu...mwamko wa mabadiliko ni mkubwa sana nchi nzima,kuchukua nchi ni very possible. Vote dr Slaa.
/QUOTE]
Kwa wenzetu mlioko huko bongo (yaani Dar) mtusaidie ili tuweze kuupata huo mdahalo online kama inawezekana....
Jumamosi, Oktoba 23 Mgombea Urais wa CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa atajibu maswali ya wananchi moja kwa moja (live) kupitia ITV Televisheni, kuanzia saa moja jioni hadi tatu usiku.
Mwambie rafiki yako na wadau wote wa uchaguzi wasiokuwa kwenye mtandao huu, kwa njia ya simu au ujumbe mfupi wa maandishi, ni wakati murua wa kumuuliza maswali na kumbana kujua anataka kuifanyia nini hasa nchi hii, maana midahalo ndio kama hiyo ya urais hatuoni kama itakuwapo tena.
Tufunge huo mjadala wote tumeletwa na mwenyezi mungu hapa duniani. Mungu awajua walio wake na atawapigania katika mabaya yote. Tuendelee kumtumaini mungu tutashinda tu kwa uwezo wake.
Mengine tutajiumiza vichwa bure tufikirie kulinda kura kwa kwa akili zetu zote na kwa msaada wa mungu.
tutavuka salama Dr.Slaa ni Musa wetu.