vipi kuhusu kwamba yeye ametumwa na wakatoliki kugombea?
I WISH DR SLAA AWE RAIS WETU,MUNGU MTANGULIE NA AFANYE MIUJIZA, Halafu tufanye yafuatayo:
1. Tuishinikize tume ya uchaguzi kutoa majina ya wapiga kura mapema kwa kila eneo walilojiandikisha ,make wana mchezo wa kupeleka jina sehemu nyingine( hasa sehemu ambazo ni tishio kwa CCM)ukienda kuangalia jina lako unakuta halipo, wanasema watashughulikia mara saa kumi na mbili inafika muda wa kupiga kura unaisha unakuwa umekoswa haki yako ya kupiga kura, hivyo watoe majina mapema na kwa usashihi ili wapiga kura wajue mapema kama majina yao yapo kwenye kituo walichojiandikishia.
2.Serikali iruhusu wanafunzi wa vyuo vikuu wapige kura za kumchagua Rais majumbani kwao kwani wengi wamejiandikisha kwenye vyou vyao( DSM,Morogoro,Dodoma ,Iringa na mahala pengine) lakini Vyuo vitafunguliwa baada ya uchaguzi hivyo watashindwa kupiga kura huko majumbani kwao watakapokuwa likizo.
3.CUF na NCCR Mageuzi viunganishe nguvu na CHADEMA,Lipumba amuachie Dr Slaa kwani kwa sasa nyota ya Dr Slaa inang'ara sana kuliko Lipumba,Dr anakubalika sana kwa sasa, tuachane na vyama vingine waganga njaa( TLP,UDP na vingine vilivyopo tu kwenye orodha ya msajili wa nyama,havijulikani kabisa nchini).
4. Sisi wenye uelewa na machungu ya nchi hii tuwahamasishe ndugu zetu(Kila mmoja ahamasishe ndugu zake huko vijijini )waache woga kwamba vyama vya upinzani vikiongoza nchi kutatokea ukosefu wa amani.Hizo ni propaganda tu za akina makamba na CCM yake.
Kuliko kuwa na Wabunge 10 ( Including Slaa) Ni Bora Akautosa huo Ubunge agombee urais ili kuwe na na wabunge 100
Habari zilizopatikana sasa hivi zinasema kwamba Dk. Slaa ndiye mgombea urais wa Chadema mwaka 2010.
Kikao kilichomchagua Dr. Slaa kuwa mgombea urais wa CHADEMA
More to come
Hii hoja ya kuunganisha nguvu siipingi ila tuiangalie kwa upana wake zaidi.....Lazima tuwe na Ideology inayofanana maana tukisema Lengo ni Kuing'oa ccm then after that nn kifuate? Isije ikawa kama Kenya, Lengo la wapinzani lilikua kuing'oa KANU baada ya lengo Wakaparaganyika...kwa hiyo na sisi tusifuate mtazamo huo!! wapinzani wawe na Ideology inayo fanana na lengo lisiwe kuing'oa ccm tu bali kuistawisha nchi kwa maendeleo ya watanzania wote!!Hapo ndipo penyewe, sasa tuangalie maslahi ya nchi na si vyama. Chonde chonde CUF kubalini ukweli, tumpe Dr Slaa. Prof wangu Lipumba tafadhali ungana na Slaa tuikomboe nchi yetu.
mimi ninamaswala haya kwa dk slaa
1)endapo atashinda uchaguzi na kuwa rais nini atafanya katka kurudisha mahakama ya kadhi
2) vipi kuhusu swla la oic
3) vipi kuzibadilisha kuwa siku za mapumziko kuwa j3 na j4 badala ya j1 na j2 au kuongeza ijumaa?
Amejiandaaje kukaa miaka mitano kijiweni, simshauri kwa kuwa atapunguza msisimko bungeni
Mrs. Slaa ni kada wa ccm, diwani nafikiri, sasa sijui atam-join Mr au ataheshimu instructions za Sofia Simba?
can you think beyond the next meal lady!?
Kwa maoni yangu Mrs Slaa ingefaa ahame chame - either to Chadema au Chama-less: haileti mantiki kuwa na "first-lady to be" in opposition camp!
karibu dk slaa, lkn nasikia anaziwania sana kura za wakatoliki