Elections 2010 Dr. Slaa mgombea urais 2010 kupitia CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Huyu "Dr" wenu wa theolojia alieshindwa kudhibiti flaizi ya suruari yake, akaishia kuzaa na changudoa ambae hajamuoa mpaka leo hawezi kuwa Rais wa JMT. Halafu kimada wake anagombea ubunge kwa tiketi ya CCM! big joke!. I feel sorry for him, hivi akisoma pumba za JF anajiona yeye ni presedential material kweli?

Endeleeni kupeana false hope lakini huyo Padri wa katoliki hatawali ng'oo!
 
Heri yeye ALIZAA na Changudoa. Kwani Changudoa si binadamu?
Na kwa habari yako huyo Changudoa mwenyewe ni Rose Kamili, ambaye Diwani wa CCM wa Kata ya Bassotu, wilayani Hanang.
Ni heri alizaa na MWANAMKE kuliko siku atakuja mwanao wa kiume na kukutambulisha "... baba huyu ni Boyfriend wangu....."
Bado naona ni HERI PADRI anayezaa na Mwanamke tena mtu mzima kuliko wale WANAOBAKA VITOTO.
Au ulitaka abaki Padri aje AKUTEMBELEE siku moja kitandani kwako?

ASHINDE asishinde siye POA tu. SLAA kweli kafufua wengi. Hadi Mkuu Kanda2? Nilifikiri uko Kyela na Mwakalinga kumsaidia KUGAWA LAPUTOPU ulizomuahidi kumpelekea azigawe KYELA.... Kumbe Dr ni BOMBA linaofukiza moshi mashimoni hadi Nyoka wanatoka kwenye mapango yao....

Kumbuka kama siyo Dr. Slaa, huyu ndiyo atakuwa Rais wako:



 
any way nafikiri tu kwa sauti. hivi Dr slaa akiwa Rais, waziri mkuu atakuwa nani? Mbowe au Zito?
 

Labda baada ya kuwa kubanjuliwa sana akaona isiwe taabu ngoja nami niingie uwanjani, ndio maana kaanza na moto mwingi kwa machangu kwanza. Na kwa taarifa yako huyo changu Diwani sasa anagombea ubunge Hanang kwa tiketi ya CCM! what a contrast!. Look at this scenario Presidee Slaa PM Mrs Slaa.

Mimi kugawa LAPUTOPU Kyela imeshindikana, nimemuachia Mwafrika wa Kike yeye ana mtandao mkubwa kule japo anazuga hapa na yale mambo yake ya ukinyonga aka kuuma na kupulizia CCJ/Chadema.

Go Slaa go Mwakalinga!
 
Slaa is a cow boy we dont like another hero !!!
 
Well done chadema !!, Dr. andaa baraza lako la mawiri JK ikulu imemshinda.
 

Alibanjuliwa na nani? mambo ya kutumia muda mwingi madrassa yanakufanya ufikirie kubanjuliwa all the time!

Mimi kugawa LAPUTOPU Kyela imeshindikana, nimemuachia Mwafrika wa Kike yeye ana mtandao mkubwa kule japo anazuga hapa na yale mambo yake ya ukinyonga aka kuuma na kupulizia CCJ/Chadema.

Go Slaa go Mwakalinga!

Usijependekeze kwa Slaa... watu kama wewe mshindwe na mlegee huko madrassa
 

Haraka ya nini MgonjwaUkwimi, subiri siku Mkombozi Dr. Slaa atakapozindua kampeni yake, kwani naona watu mnaanza kutetemeka na huku hata hajakohoa, je baragumu itakapolia ? Watanzania kwa taarifa yako si tu wamechoka na porojo za bungeni, wamekata tamaa na usanii wa Kikwete na hivi sasa wanashuhudia kwa macho yao walafi wanavyopigana vikumbo kusaka ulaji ndani ya CCM kwa kutumia kila nyenzo chafu iwe rushwa, ulaghai, uwongo hadi ngumi !

Dr. Slaa kwa ufahamisho wako ameshapanda daraja na mahali pake kwa sasa si bungeni tena bali anahitaji kibali cha wananchi aweze kuwatumikia kwa kutenda yale anayoyahubiri, kwa kushughulikia yale anayoyapigia kelele, kwa kuwawajibisha wale wanaoifisadi nchi. Kwa kifupi aweze siyo tu kulikwaamua taifa kutoka kwenye umasikini bali kulikomboa na kulirudishia uhai, heshima na uhuru kutoka mikononi mwa wezi na mafisadi walioliteka kwa baraka za CCM.

Kama nilivyosema mwanzoni, watu kama MgonjwaUkimwi tayari wanatetemeka kwani wanaona vichaka walimojificha vikikatwa na sasa wananchi wataweza kuwaona kwa maumbo yao halisi. Unapowasha taa gizani, huifichi uvunguni mwa kitanda bali unaining'iniza ing'ae, kuangaza na kumulika, kwa nini kuna watu wanataka Chadema baada ya kuwasha taa (Dr. Slaa) wamfiche mvunguni (Bungeni) ? Wenzetu mnaogopa nini ? Mnaogopa kumulikwa ?
 
Alibanjuliwa na nani? mambo ya kutumia muda mwingi madrassa yanakufanya ufikirie kubanjuliwa all the time!



Usijependekeze kwa Slaa... watu kama wewe mshindwe na mlegee huko madrassa

Na maustaadh wa madrasa.
 

MgonjwaUkimwi
Huishiwi upupu? Jifunze kuandika kiswahili safi kwanza!
 
Kautafiti nilikokafanya juma hili kanaonesha kuwa watu wengi waliokuwa hawana mpango wa kupiga kura sasa watapiga kutokana na uamuzi huu wa kumsimamisha Dakta. Hawa ni pamoja na wale ambao walijiandikisha ili wapate tu kitambulisho cha kuwasaidia katika shughuli zao za kila siku hasa wanapodaiwa wajitambulishe. Pia inajumuisha wale ambao walijiandikisha ili wapige kura za kuchagua wabunge tu. Sasa msiniulize nimetumia methodolojia gani. Ila nadhani kuna umuhimu sasa wa kufanya utafiti wa kina wa kujua ni jinsi gani uamuzi huu utabadili uwiano wa kura na kupelekea kupungua sana kwa kura za Mgombea wa Urais wa tiketi ya chama tawala. Nadhani REDET na SYNOVATE wanalifanyia kazi hili. JF ilivalie njuga pia.
 
Una mawazo finyu sana Subira tena si ya kimapinduzi, nakufananisha wewe na nanga inayozuia meli isiende. Kwa maneno yako umejiaminisha kabisa kuwa CCM wanaiba kura so tuendelee na umasikini huu kisa wanaiba kura. Kwanza nani alikuambia wanaiba kura, uliwaona? Kama hukuwaona wanaiba kura basi huna haki ya kusema waliiba kura. Wewe kama kweli unamkubali Dr Slaa kuiongoza hii nchi kwa mafanikio nenda kampigie kura unless upo hapa kukatisha watu tamaa. Bungeni wanapiga kelele sana kuhusu miswala mibovu na ufisadi, huo ufisadi umeisha? Unajua kwa nini? Kaa chini fikiri!! Tunahitaji kuondokana na utawala dhalimu wa CCM if you are not ready for that na unafaidika na utawala huu please kaa pembeni!!
 
Habari zilizopatikana sasa hivi zinasema kwamba Dk. Slaa ndiye mgombea urais wa Chadema mwaka 2010.


Kikao kilichomchagua Dr. Slaa kuwa mgombea urais wa CHADEMA

More to come

haya mwayego hilo nalo nenooooooooooooooooooooo!!,maana huo mtihani ni wa vidudu anagombea nini wajameni mi nachanganyikiwa inapasa kufanya utafiti wa kutosha maana hawa wagombea siwaelewi kabithaaaaaaaaaaaaaaaa.
 

Chesty si mawazo finyu tuu huyo akhera hayupo na duniani anatafutwa inaelekea hata magazeti hasomi wala habari hasikilizi yaani haelewi kinachoendelea kama huamini muulize chama gani kilichofutwa kama jibu atakua nalo hakawii kusema mgombea urais wa zanzibar ni KAPUYA
 
kabla ya PhD alichukua nini first degree
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…