Mkuu labda anaweza kuapply ka Advanced Diploma yake katika utawala wake, ingawa kabobea katika maswala yake ya diniSt. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980-1981
HAPO KWENYE ST NAPO?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu labda anaweza kuapply ka Advanced Diploma yake katika utawala wake, ingawa kabobea katika maswala yake ya diniSt. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980-1981
HAPO KWENYE ST NAPO?
Kwani huko kwenye dinin alikuwa anaongoza ng'ombe?kura yangu haipati mpaka anifanulie hasa udokta wake atautumia vipi wakati yeye ni dokta wa maswala ya dini?
lakini mkuu wewe unautambua u Dr wake? na siataa wala kwa mujibu wa katiba na si PhD yake, nini hasa wasi wasi wako katika hii PhD ya huyu muheshimiwaneno labda ndio silitaki, sipendi nijaribu. Lkn bado mtu huchukuliwa kwa elimu yake ya juu na sio chini
Malaria Sugu,DK SLAA NASHUKURU KWA MAJIBU
LKN NINA KISWALA KIDOGO TU
nasikia baadhi ya magazeti yansema umetumwa na wakatoliki kugombea. na mimi nikiunganisha phd yako na habari hiyo hua nahsi kuna ukweli jee kama muhusika unanitoa wasiwasi gani?
Kwa taarifa yenu wote mliona na mashaka kuwa jimbo la karatu linarudi ccm baada ya dr.slaa kugombea urais, mfute hayo mawazo, anakuja mtu ambaye atashinda kwa kura zaidi ya alizopata dr. Mwaka 1995. Mimi ni mkazi wa karatu tunajua mbunge wetu ni nani kama chadema watampitisha basi ushindi wa chadema hapa ni hakika na jk hapati diwani wala mbunge hapa karatu. Msituone wairaqw wa karatu hatuna cha kusema mtusemee. Tuna watu wengi wenye sifa kama slaa, tunaomba mpigieni kura slaa tubadili nchi kiuchumi. Tumesikia mengi kuwa anaundiwa zengwe kuwa ana udini katumwa na katoliki jamani mnasahau wosia wa baba wa taifa? Dini ya mtu inatuhusu nini? Ni mtanzani mchango wake ameuonyesha kwa miaka 15 mnataka nini kwenye dini yake? Wengine wanahoji mbona mkewe ccm kwani nyie mwataka nini kwa mkewe. Siasa siyo vita jamani, tunajenga nchi moja tusigombee fito.
Nawasilisha mwenyekiti kwa niaba ya wana karatu.
Chadema kama chama hawajaweza kulisemea iwe bungeni au nje bunge swala la mahakama hata kidogo kwa ghilba tu za watu kama PAdre SLAA unafikiri watalisema wakati huu ..ukweli ni kwamba hawawezi kwakuwa ni WAKATOLIKI PURE! na maagizo ya maaskofu hawana jeuri ya kukiuka..
SLaa hana uwezo wa kumsaidia muislamu na mahitaji yake wala hana habari nazo (out of touch)..mahitaji ya waislamu yataletwa na wenyewe tena kwa nguvu....na wala si chadema
BIG NO TO PRIEST
Mkuu mbona kanisa alisha acha kulitumikia kitambo, yeye amebaki muumini tumimi sisemi hayo, namuuliza simple question
jee kweli atatumikia kanisa?
Wapenzi wengi wa chama chako wana sifa ya kutuweza kuvumilia mawazo mbadala hasa yanakuhusu wewe na background zako za KIKANISA na UDINI (kielimu na kimalezi)....
Naamini hustahili kura hata moja kutoka kwa MUISLAMU mwenye chembe ya IMANI kwakuwa kitakachofuata baada ya hapo ni kufunikwa kwa uislamu Tanzania na kuingiza ukatoliki maana ndiko ulikobobea (PhD) ...
Sorry nenda kanisani kaongoze kwenye urais unataka kuleta maafa na mgawanyiko mkubwa katika..ushauri tu kwa ajili ya Tanzania yetu..
kura yangu haipati mpaka anifanulie hasa udokta wake atautumia vipi wakati yeye ni dokta wa maswala ya dini?
kura yangu haipati mpaka anifanulie hasa udokta wake atautumia vipi wakati yeye ni dokta wa maswala ya dini?
Mkuu hebu anza na chama tawala waulize kama wameshindwa tangu 2005 kuwaletea waislam hicho mlichokitaka je baada ya uchaguzi wataweza? Kumbuka JK ndo mdini kwani huyu mgombea wake mwenza ni watatu na wote ni waislamu na wameshindwa kuwaletea hicho waislam mlichokitaka.Sasa ni zamu ya waislam kugeukia upande mwingine...........DR SLAA NDIO TUMAINI LETU WOTE WAISLAM,WAKRISTU NA WAFANYAKAZI.hata kwa waislam. nipe ushahidi?
Bila kumsahau Mzee mwenye hati miliki ya CCM Yusuph Makamba. Mkuu Pasco hii PHD ya JK na Karume ni za nini kweli?We Tumain, usianze kutuletea ujahidina wako hapa kwa uteuzi wa Dr. Slaa kwa kumuita padri, mara katumwa na maaskofu mara ohh..
Kama Rais ni Muislamu, Makamo wa Rais Mislamu, Rais wa Zanzibar Muislamu, Waziri Kiongozi Muislamu, IGP Muislamu, mkuu wa TISS Muislamu, etc etc, top cream yote hiyo haijaweza wasaidia kupata hicho mtakacho, mpaka kwenye ilani japo ni kiini macho lakini kiliwekwa, hamjaamka tuu na kukubali mabadiliko?!.
Dr. Slaa is more than what he is, yeye ni kwa maslahi ya Taifa.
Natamani sana Wakala wa Mkemia Mkuu, wamfanyie DNA Prof. Lipumba ili kuthibitisha wale Wanyamwezi wa Zanzibar ni ndugu zake wa kinasaba, conclusion iwe kumbe Prof. Lipumba ni Mzanzibari, memorandum ya ushirikiano kati ya CUF na Chadema iandikwe na kusainiwa, Dr. Mgombea, Prof. Mgombea mwenza, au Juma Duni,
October 31, itakuwa kwisha kazi, kama kumsukuma mlevi, na mahakama yenu ya Kadhi mnapewa ndani ya miezi 6 tuu, jee bado mnataka nini?.
Bila kumsahau Mzee mwenye hati miliki ya CCM Yusuph Makamba. Mkuu Pasco hii PHD ya JK na Karume ni za nini kweli?
kura yangu haipati mpaka anifanulie hasa udokta wake atautumia vipi wakati yeye ni dokta wa maswala ya dini?