Quran haina toleo wewe unashindwa kutafsiri aya unaanza kuleta mkanganyiko kitabu hakina mkanyiko ni uelewa wako ndio unamkanganyikoHayo maelezo unayoyatoa yamefafanuliwa kwenye kuluwani toleo la ngapi?
J2 utakuwa muafrika anavaa za kizungu kama shati, suruali, koti na Tai huku kakamata kitabuIjumaa utawaona Waafrika weusi wanaenda kuswali huku wamevaa mavazi ya Kiarabu kama Kanzu na Baraghashia na Vilemba.
Dr. Umar ana HOJA.
Ukisoma vizuri mtiririko wa Aya utagundua kua 70:4 inazungumziwa SIKU YA KIAMA hiyo SIKU itakua na urefu huo na 22:47 ni SIKU katika maisha ya AKHERA. So hizo ni SIKU za aina mbili tofauti.
Hakuna sehemu imesemwa ardhi imeumbwa kwa SIKU 8,ni 6 tu. Siku 2 ardhi + 4 milima 41:9-10
41:12 mbingu si ardhi.
Kweli mna macho lakini hamuoniQuran haina toleo wewe unashindwa kutafsiri aya unaanza kuleta mkanganyiko kitabu hakina mkanyiko ni uelewa wako ndio unamkanganyiko
Hakuwa muslims arejee alikokuwa kablaDr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi.
Dr. Umar Johnson kasema kuanzia sasa yeye sio Muisilamu tena bali amejiunga na Dini ya Mizimu ya Kiafrika, yaani African Spiritualism.
View: https://youtu.be/2zxXzGX_i-Y?si=vAOjyCo_bS9uLiRS
Unabisha alichokiandika au kuna zaidi ya hapo umueleze ukweli?Wee nae huwa mweupe mno,si kihoja wala upeo/uelewa wa mambo
Mimi mswahili f6 nimesoma masomo yote kwa kiengereza na nimepata A zote, chuo masomo yote kwa kiengereza na nimepata First class. Tatizo liko wapi?Lakini Bible zimeandikwa Kiswahili na Ibada za Kikristo zinafanywa Kiswahili na zinaeleweka.
Atabisha na kuanza ulalamishi.Elimu ya Shule ni kwa ajili ya maarifa na mawasiliano na BINADAMU wenzako lakini kwa MUNGU ALIYEKUUMBA akakupa Lugha yako ya Asili halafu akuambie uwasiliane nae kwa Lugha ya Kiarabu huoni tatizo hapo?!
ioHuyu ni Yeriko Nyerere aliyechangamka
Huna hoja , ndio maana biblia ilioandikwa Mbeya ni tofauti na ilioandikwa UK na tofauti ilioandikwa Spain. Hapo biblia ilipoanza kuchakachuliwa. Maana kila mmoja kaandika anavyopendaElimu ya Shule ni kwa ajili ya maarifa na mawasiliano na BINADAMU wenzako lakini kwa MUNGU ALIYEKUUMBA akakupa Lugha yako ya Asili halafu akuambie uwasiliane nae kwa Lugha ya Kiarabu huoni tatizo hapo?!
Waislam wengi marekani ni wamarekani weusi,loon,ice cube,chriss turker,tyson, napoleon na crew yote ya Tupac, japo waislam weupe USA wapoUnabisha alichokiandika au kuna zaidi ya hapo umueleze ukweli?
Unafikiri uislam kama ukristu watu kukaa kujadili nini kitoke nini kiongezwe!?..kelele zote na chuki dhidi ya uislam na kumbe huujui!!Uislamu unanakiwa kufanyiwa Reforms ili uendane na wakati tilionao na wakati ujao.
Dr. Umar yuko sahihi.
Simu za Google zote ukiweka Kiswahili zinaandika hivyo kwenye auto kwa hio kaa kwa kutulia bibie au hapo pia ulitaka niandike kuturia= yanafikirisha.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?.