Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Uwepo wa ushoga duniani hauondoi ukweli kwamba Biblia ni kitabu cha kweli.

Kwenye Bible hakuna neno gay wala lesbian.

Biblia inakemea mambo yote mabaya yanayomchukiza mwenyezi MUNGU.

Shetani anajua kuwa Biblia ni kitabu cha kweli ndio maana analeta machafuko kwenye makanisa ili kuwachanganya watu wasiujue ukweli.

Watu nao wamekuwa wajinga kwa kufuata maneno ya viongozi bila ya kujiuliza Kama hayo maneno yanaendana na Biblia au la.
 
Hayo maelezo unayoyatoa yamefafanuliwa na wewe sio kuluwani
Ukisoma vizuri mtiririko wa Aya utagundua kua 70:4 inazungumziwa SIKU YA KIAMA hiyo SIKU itakua na urefu huo na 22:47 ni SIKU katika maisha ya AKHERA. So hizo ni SIKU za aina mbili tofauti.
Hakuna sehemu imesemwa ardhi imeumbwa kwa SIKU 8,ni 6 tu. Siku 2 ardhi + 4 milima 41:9-10
41:12 mbingu si ardhi.
 
Dr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi.

Dr. Umar Johnson kasema kuanzia sasa yeye sio Muisilamu tena bali amejiunga na Dini ya Mizimu ya Kiafrika, yaani African Spiritualism.


View: https://youtu.be/2zxXzGX_i-Y?si=vAOjyCo_bS9uLiRS

Hakuwa muslims arejee alikokuwa kabla
 
J
J2 utakuwa muafrika anavaa za kizungu kama shati, suruali, koti na Tai huku kakamata kitabu
Lakini Bible zimeandikwa Kiswahili na Ibada za Kikristo zinafanywa Kiswahili na zinaeleweka.
 
Elimu ya Shule ni kwa ajili ya maarifa na mawasiliano na BINADAMU wenzako lakini kwa MUNGU ALIYEKUUMBA akakupa Lugha yako ya Asili halafu akuambie uwasiliane nae kwa Lugha ya Kiarabu huoni tatizo hapo?!
Huna hoja , ndio maana biblia ilioandikwa Mbeya ni tofauti na ilioandikwa UK na tofauti ilioandikwa Spain. Hapo biblia ilipoanza kuchakachuliwa. Maana kila mmoja kaandika anavyopenda
 
Uislamu unanakiwa kufanyiwa Reforms ili uendane na wakati tilionao na wakati ujao.

Dr. Umar yuko sahihi.
Unafikiri uislam kama ukristu watu kukaa kujadili nini kitoke nini kiongezwe!?..kelele zote na chuki dhidi ya uislam na kumbe huujui!!
 
= yanafikirisha.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?.
Simu za Google zote ukiweka Kiswahili zinaandika hivyo kwenye auto kwa hio kaa kwa kutulia bibie au hapo pia ulitaka niandike kuturia
 
Back
Top Bottom