Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Siku mkiacha kusali kwa kiarabu au kuvaa mavazi ya kiarabu nitakua muislamu tofauti na hapo uislamu ni dini ya kueneza tamaduni za kiarabu nothing mor nothing less
Kuhusu kuvaa ni uamuzi wako ila kuhusu kusali utasubiri sana
 
Aisee! Mbaya sana.

Viongozi wa Dini za Mizimu wa Kabila la Dogon wa wakifanya ibada za matambiko yao.

Sasa hivi wameshambuliwa na Magaidi ya Kiislamu huko Mali.


Mwarabu anataka kufuta kabisa Culture yetu ya Kiafrika ili tufuate Culture yeke ili tuwe Watumwa.
 
Aaaaaiiiseeee! Umewatoa wapi hawa? Sasa magaidi uchwara ya jamii forum yanawatolea macho hawa yakienda pepo ya kusadikika. Ila huyu Allah anatakiwa akamatwe ashikishwe adabu kabsa. Allah gani anaitegemea Iran na vikundi vyake kueneza Uislam
Bikra wa 60 huyu hapa
 
Aisee! Nawaonea huruma Hawa jamaa. Hawana shida na mtu, Kisha vichaa flani wanawashambulia na kuwaua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…