Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu


Dr.Umar yuko sahihi Big Up Bro!
 
Mamake Yesu alikuwa na miaka 13,akaolewa na Joseph,watoto wa mashariki ya kati walikuwa wakila nyams na maziwa,wafikiri ni haw wa kiafrika,wanaokula ugali na chumvi.
Kondoo hawana elimu hiyo.
 
Utumwa wowote ni mbaya.

Uislam ndiyo umekuja kutowa watu utumwani. Kumbuka hilo.

Unajuwa meli ya kwanza kupeleka watumwa Marekani iliitwaje?
Mpaka leo waarabu wanamchukulia mtu mweusi kama kijakazi
 
Unajua walikua wana vaa hata kabla ya uislamu? Both Arabs and Jews na lengo ilikua wanawake wana van kwasababu ya vumbi la Jangwani.
Nikusanue kidogo; ukienda Saudia leo, Wasaudia wakimuona mtu na mavazi yake wanakwambia Originality ya mtu, Wasaudia wanawake hawavai Hijab zile za kufunika kabisa uso, hiyo ni utamaduni wa Pakistan, same na suruali fupi ni utamaduni wa huko huko Pakistan; Wenyewe wanavaa suruali za kawaida na kanzu zao, tena Saudia kanzu nyeupe inavaliwa msimu wa joto, kipindi cha baridi wana vaa kanzu za rangi tofauti, I mean colored. Again hadi wanaume wa Kikristo wa Kisaudia wana vaa hadi kile kiremba cha rangi rangi. So ni utamaduni.
 
Hakuna kikichobadilika labda tu waliachana na Polytheism na kuhamia kwenye Monotheism lakini Rituals zao za Kipagani mpaka leo zipo mfano kuzunguka Kaaba kubusu Jiwe jeusi nk.
Nenda kasome uislamu,wacha kudanganywa kwenye vijiwe vya pombe za kienyeji.
 
Mwanamke ambae anaona damu ya hedhi huyo sio mtoto ndio maana akiingiliwa anapata ujauzito mtoto hawezi kuzaa,
Miaka 6 ni mtoto hiyo hedhi inatoka wapi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…