Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

raf,360x360,075,t,fafafa_ca443f4786.jpg

Dr.Umar yuko sahihi Big Up Bro!
 
Utumwa wowote ni mbaya.

Uislam ndiyo umekuja kutowa watu utumwani. Kumbuka hilo.

Unajuwa meli ya kwanza kupeleka watumwa Marekani iliitwaje?
Mpaka leo waarabu wanamchukulia mtu mweusi kama kijakazi
 
Hijabu ni maelekezo ya Quran,kasome suratin nisa',kabla ya uislam waarabu wanawake wakienda uchi kama akina kajala,hakuna lugha ya uislam,una uhakika kanzu ni ubunifu wa mashariki ya Kati?!..kabla ya uislam mahari arabuni ilikua ni ya wazazi kama wasukuma na wamasai, uislam ndiyo umeelekeza mahari ni ya muolewaji
Unajua walikua wana vaa hata kabla ya uislamu? Both Arabs and Jews na lengo ilikua wanawake wana van kwasababu ya vumbi la Jangwani.
Nikusanue kidogo; ukienda Saudia leo, Wasaudia wakimuona mtu na mavazi yake wanakwambia Originality ya mtu, Wasaudia wanawake hawavai Hijab zile za kufunika kabisa uso, hiyo ni utamaduni wa Pakistan, same na suruali fupi ni utamaduni wa huko huko Pakistan; Wenyewe wanavaa suruali za kawaida na kanzu zao, tena Saudia kanzu nyeupe inavaliwa msimu wa joto, kipindi cha baridi wana vaa kanzu za rangi tofauti, I mean colored. Again hadi wanaume wa Kikristo wa Kisaudia wana vaa hadi kile kiremba cha rangi rangi. So ni utamaduni.
 
Hakuna kikichobadilika labda tu waliachana na Polytheism na kuhamia kwenye Monotheism lakini Rituals zao za Kipagani mpaka leo zipo mfano kuzunguka Kaaba kubusu Jiwe jeusi nk.
Nenda kasome uislamu,wacha kudanganywa kwenye vijiwe vya pombe za kienyeji.
 
Back
Top Bottom