Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Dr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi.

Dr. Umar Johnson kasema kuanzia sasa yeye sio Muisilamu tena bali amejiunga na Dini ya Mizimu ya Kiafrika, yaani African Spiritualism.


View: https://youtu.be/2zxXzGX_i-Y?si=vAOjyCo_bS9uLiRS

Huyu toka hapo hakuwa muislamu,ni njaa tu ilimuhangaisha,alifikiri huku kwenye uislamu ,atapata vya bure,njaa mbaya,anafikiri akiwa na dini za asili,atapata vya bure.
 
Mwanamke ambae anaona damu ya hedhi huyo sio mtoto ndio maana akiingiliwa anapata ujauzito mtoto hawezi kuzaa,
Miaka 6 anaona hedhi mm niko na biti yangu Ana miaka 11 na hata haingii hedhi wewe Acha zako
 
Huyu toka hapo hakuwa muislamu,ni njaa tu ilimuhangaisha,alifikiri huku kwenye uislamu ,atapata vya bure,njaa mbaya,anafikiri akiwa na dini za asili,atapata vya bure.
Jibu Hoja zake acha kumshambulia yeye Binafsi kama wewe ni mwrupe kichwani ni bora umuache.
 
Sikuwepo na wewe hukuwepo ni hadithi tu.
Safi sana, hiyo hadithi unaiamini vipi?

Fikiri, mtu aliyeleta sheria zinazotumiwa na watu billion mbili dunia nzima leo hii. Asilijuewe zuri na baya?

Na hao watu billion mbili wamekuwa Waislam baada yake, wote hawana akili, mwenye akili ni wewe ambaye uaitwa kondoo unakubali bi;s kufikiri?
 
Nimekuliza jana hujajibu wewe ukifa unakutana na misumari72
Kuliza swali kwenye mambo dini au imani, ambalo unalifikiria kijinga tu, unakuwa ni zaidi ya ujinga.

Swali lako sikulijubu kwa sababu halina faida yoyotde kwako wala kwa wanaousoma huu uzi.

Au wewe unaona lina faida?
 
Unajua walikua wana vaa hata kabla ya uislamu? Both Arabs and Jews na lengo ilikua wanawake wana van kwasababu ya vumbi la Jangwani.
Nikusanue kidogo; ukienda Saudia leo, Wasaudia wakimuona mtu na mavazi yake wanakwambia Originality ya mtu, Wasaudia wanawake hawavai Hijab zile za kufunika kabisa uso, hiyo ni utamaduni wa Pakistan, same na suruali fupi ni utamaduni wa huko huko Pakistan; Wenyewe wanavaa suruali za kawaida na kanzu zao, tena Saudia kanzu nyeupe inavaliwa msimu wa joto, kipindi cha baridi wana vaa kanzu za rangi tofauti, I mean colored. Again hadi wanaume wa Kikristo wa Kisaudia wana vaa hadi kile kiremba cha rangi rangi. So ni utamaduni.
Ujuaji wa kijinga,ingekua ndiyo mavazi yao Quran isingeamuru wavae,suruali fupi ni itikadi za sheikh wahabi za kuhuisha sunna, sheikh wahabi alikua mtawala wa saudia ikiitwa hijaz kabla ukoo wa al saudi hawajapewa nchi na mwingereza na kubadili jina la nchi kuwa saudia, pakistan na afghanistan ni wahabi,hijab za kufunika nyuso ni uzushi wa kiwahabi kinyume na maelekezo ya hijabu ndani ya Quran
 
Back
Top Bottom