Suhendra
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 1,625
- 3,307
Leta ushahidi kama alimuoa na miak6Miaka 6 ni mtoto hiyo hedhi inatoka wapi?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta ushahidi kama alimuoa na miak6Miaka 6 ni mtoto hiyo hedhi inatoka wapi?!
Dr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi.
Dr. Umar Johnson kasema kuanzia sasa yeye sio Muisilamu tena bali amejiunga na Dini ya Mizimu ya Kiafrika, yaani African Spiritualism.
View: https://youtu.be/2zxXzGX_i-Y?si=vAOjyCo_bS9uLiRS
Kujadili na mtu wa namna hii unakuwawafanya kazi mara mbiliView attachment 3119152
Nakucheki tu.
Miaka 6 anaona hedhi mm niko na biti yangu Ana miaka 11 na hata haingii hedhi wewe Acha zakoMwanamke ambae anaona damu ya hedhi huyo sio mtoto ndio maana akiingiliwa anapata ujauzito mtoto hawezi kuzaa,
Ushahidi si quruan yenu mtume alikuwa mjanja janja tuuLeta ushahidi kama alimuoa na miak6
Jibu Hoja zake acha kumshambulia yeye Binafsi kama wewe ni mwrupe kichwani ni bora umuache.Huyu toka hapo hakuwa muislamu,ni njaa tu ilimuhangaisha,alifikiri huku kwenye uislamu ,atapata vya bure,njaa mbaya,anafikiri akiwa na dini za asili,atapata vya bure.
Waislamu bhana afuu ety huyoo mtume aswaliwe huu si umakuSomeni Vitabu vyenu au Kiarabu hamukielewi.
Ulimuona wewe?Miaka 6 ni mtoto hiyo hedhi inatoka wapi?!
kuwa na lugha njema kijana, hakuna ugomvi hapa.Waislamu bhana afuu ety huyoo mtume aswaliwe huu si umaku
Wewe ulitoka hedhi na miaka 6Ulimuona wewe?
Nimekuliza jana hujajibu wewe ukifa unakutana na misumari72kuwa na lugha njema kijana, hakuna ugomvi hapa.
Au hauna ustaarabu?
Muulize yeyevalipa hedhi na umri ganiSikuwepo na wewe hukuwepo ni hadithi tu.
Safi sana, hiyo hadithi unaiamini vipi?Sikuwepo na wewe hukuwepo ni hadithi tu.
Wewe umeolewa na mwanaume mwenzako, ni mzungu amekusainisha mkataba?!Umesahau na hao wazungu wanao wasainisha mikataba ili muolewe na wanaume wenzenu
Kuwa mtumwa na kuolewa bora kipi¿
Kuliza swali kwenye mambo dini au imani, ambalo unalifikiria kijinga tu, unakuwa ni zaidi ya ujinga.Nimekuliza jana hujajibu wewe ukifa unakutana na misumari72
Ujuaji wa kijinga,ingekua ndiyo mavazi yao Quran isingeamuru wavae,suruali fupi ni itikadi za sheikh wahabi za kuhuisha sunna, sheikh wahabi alikua mtawala wa saudia ikiitwa hijaz kabla ukoo wa al saudi hawajapewa nchi na mwingereza na kubadili jina la nchi kuwa saudia, pakistan na afghanistan ni wahabi,hijab za kufunika nyuso ni uzushi wa kiwahabi kinyume na maelekezo ya hijabu ndani ya QuranUnajua walikua wana vaa hata kabla ya uislamu? Both Arabs and Jews na lengo ilikua wanawake wana van kwasababu ya vumbi la Jangwani.
Nikusanue kidogo; ukienda Saudia leo, Wasaudia wakimuona mtu na mavazi yake wanakwambia Originality ya mtu, Wasaudia wanawake hawavai Hijab zile za kufunika kabisa uso, hiyo ni utamaduni wa Pakistan, same na suruali fupi ni utamaduni wa huko huko Pakistan; Wenyewe wanavaa suruali za kawaida na kanzu zao, tena Saudia kanzu nyeupe inavaliwa msimu wa joto, kipindi cha baridi wana vaa kanzu za rangi tofauti, I mean colored. Again hadi wanaume wa Kikristo wa Kisaudia wana vaa hadi kile kiremba cha rangi rangi. So ni utamaduni.