physician2023
JF-Expert Member
- Dec 15, 2023
- 859
- 1,036
Dr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi.
Dr. Umar Johnson kasema kuanzia sasa yeye sio Muisilamu tena bali amejiunga na Dini ya Mizimu ya Kiafrika, yaani African Spiritualism.
View: https://youtu.be/2zxXzGX_i-Y?si=vAOjyCo_bS9uLiRS
Huyu hakuusoma uislamu,yeye anafikiri yanayofuata katika uislamu ni uarabu.Wakati wapo waarabu wakristo na waarabu wasio.nq dini,wako tofauti.kabisa,na walio waislamu,kimaisha,kimavazi,kiutamaduni nk