Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Amekataa uongo wa Waarabu, anajikita zaidi kwenye uongo wa watu weusi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Tatizo ni wakristo wengi na wanaoingia katika Uislam wanakosea sehem ndogo tuu wao wanadhani kua muislam inabidi ufuate tamaduni za kiarabu na ubebe kila kitu kinafanywa nao ndio dini hapo utachemka. Uislam una nguzo zake na nguzo za kiimani full stop ukishika hayo huwezi kuyumbishwa na hata huyo mwarabu mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ