Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Dr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi.

Dr. Umar Johnson kasema kuanzia sasa yeye sio Muisilamu na amejiunga na Dini ya Mizimu ya Kiafrika African Spiritualism.


View: https://youtu.be/2zxXzGX_i-Y?si=vAOjyCo_bS9uLiRS

Amekataa uongo wa Waarabu, anajikita zaidi kwenye uongo wa watu weusi 😂😂😂
 
Tatizo ni wakristo wengi na wanaoingia katika Uislam wanakosea sehem ndogo tuu wao wanadhani kua muislam inabidi ufuate tamaduni za kiarabu na ubebe kila kitu kinafanywa nao ndio dini hapo utachemka. Uislam una nguzo zake na nguzo za kiimani full stop ukishika hayo huwezi kuyumbishwa na hata huyo mwarabu mwenyewe
 
Back
Top Bottom