physician2023
JF-Expert Member
- Dec 15, 2023
- 859
- 1,036
Huyu hakuusoma uislamu,yeye anafikiri yanayofuata katika uislamu ni uarabu.Wakati wapo waarabu wakristo na waarabu wasio.nq dini,wako tofauti.kabisa,na walio waislamu,kimaisha,kimavazi,kiutamaduni nkDr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi.
Dr. Umar Johnson kasema kuanzia sasa yeye sio Muisilamu tena bali amejiunga na Dini ya Mizimu ya Kiafrika, yaani African Spiritualism.
View: https://youtu.be/2zxXzGX_i-Y?si=vAOjyCo_bS9uLiRS
Niliwaza angejiunga na ukristu, amefanya vyema kujiunga na dini za asili, dini ya asili ndiyo inayomfikisha mtu kwa Mungu wa kweli.
Sio kweli,hata hao waarabu pia wana dini za asili.Uislamu uko.tofauti na dini za asili.za waarabu.Dini za asili,ndio zilizoleta utumwa.duniani,na pia akifa kiongozi,anazikwa na watu watatu,,walio hai,na elimu pia haipewi.kipa umbele.Niliwaza angejiunga na ukristu, amefanya vyema kujiunga na dini za asili, dini ya asili ndiyo inayomfikisha mtu kwa Mungu wa kweli.
Acha makasiriko. Jikite kwenye mada= yanafikirisha.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?.
Hoja ni kwamba Uisilamu unasambaza Culture ya Mwarabu, kweli sio kweli?!Sio kweli,hata hao waarabu pia wana dini za asili.Uislamu uko.tofauti na dini za asili.za waarabu.Dini za asili,ndio zilizoleta utumwa.duniani,na pia akifa kiongozi,anazikwa na watu watatu,,walio hai,na elimu pia haipewi.kipa umbele.
Wewe una swali kikabila gani?Yuko sawa haiwezekani wewe uswali kiarabu na wewe sio mwarabu
Kumrekebisha mtu anayeikosea heshima lugha ya wenzake ni makasiriko?Acha makasiriko. Jikite kwenye mada
Kuna mja kahama kijiji huko. Kahamia mizimuni. Yapi maoni yako?Kumrekebisha mtu anayeikosea heshima lugha ya wenzake ni makasiriko?
Soma uzi vizuri utaziona aya za Qur'an.Kuna mja kahama kijiji huko. Kahamia mizimuni. Yapi maoni yako?
Huyu ndio amekomboka sasa.Dr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi.
Dr. Umar Johnson kasema kuanzia sasa yeye sio Muisilamu tena bali amejiunga na Dini ya Mizimu ya Kiafrika, yaani African Spiritualism.
View: https://youtu.be/2zxXzGX_i-Y?si=vAOjyCo_bS9uLiRS
Naona ana point tena ya maana sanaDr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi.
Dr. Umar Johnson kasema kuanzia sasa yeye sio Muisilamu tena bali amejiunga na Dini ya Mizimu ya Kiafrika, yaani African Spiritualism.
View: https://youtu.be/2zxXzGX_i-Y?si=vAOjyCo_bS9uLiRS
Sijaona hoja yoyote zaidi ya ujinga na upumbavu!! Nimesema huyu ni mtu alikuwa kwenye uislamu bendera fuata upepo na pia mguu ndani mguu nje! Hakuwahi kuusoma uislamu wala hakujua misingi ya uislamu, kanuni zake wala Mila na desturi zake. Hebu na aangalie mamilioni ya waislamu wanaokwenda kufanya ibada ya hijja huko Makka Saudi Arabia kila mwaka halafu ndio ajiulize kuondoka kwake kwenye uislamu, uislamu na waislamu wamepungukiwa nini!!.Nadhani ungejibu HOJA zake ingekuwa poa zaidi.
Poor mentality aiseeJina la Allah halina wingi hata kwenye kiarab lakini mungu lina wingi kwahiyo utapo tumia mungu inamaana ana washirika yaani miungu mingine ila unapo sema Allah, hakuna wingi wa jina hilo popote dunia katika lugha yoyoe ile
Jikite kwenye Hoja ya Dr.Umar kwamba Uislamu unasabambaza Utamaduni wa Mwarabu.Sijaona hoja yoyote zaidi ya ujinga na upumbavu!! Nimesema huyu ni mtu alikuwa kwenye uislamu bendera fuata upepo na pia mguu ndani mguu nje! Hakuwahi kuusoma uislamu wala hakujua misingi ya uislamu, kanuni zake wala Mila na desturi zake. Hebu na aangalie mamilioni ya waislamu wanaokwenda kufanya ibada ya hijja huko Makka Saudi Arabia kila mwaka halafu ndio ajiulize kuondoka kwake kwenye uislamu, uislamu na waislamu wamepungukiwa nini!!.
Kuna waarabu waliacha uislamu masiku machache baada ya kufariki mtume Muhammadi صلى الله عليه وآله وسلم na uislamu haukupungukiwa chochote hadi leo waislamu wanaongozeka na kuzaliana Sasa huyu nguruwe mmoja mweusi wa kimarekani kutoka kwenye uislamu ndio waislamu tumepungukiwa nini??!!
Mbona suti na tai zimeletwa na wazungu na Bado mnazivaa?! Si mrudi kuvaa magome ya miti na ngozi za wanyama kama walivyovaa Babu zenu ili tujue hamtaki vya kutoka kwa wageni?!View attachment 3119091
Sasa Mtu kama huyu utamuambia nini Jina la Kiarabu mavazi ya Kiarabu kwenye Mind yake amekuwa Brainwashed anajiona kuwa yeye ni Mwarabu.
Na Mwarabu hamkubali anamuita "Abidi" maana yake Mtumwa Kiarabu.
Na huyu akiletewa msaada wa Tende hujiona yeye basi tena.
Dr.Umar yuko sahihi sana.
Kuna siku nilikusihi uwaombe waislam wakufundishe kuhusu dini yao badala ya kubishana bila kuwa na elimu
Allah ni mpuuzi tu. Lioga kama nini. Limetandikwa na wayahudi likala kona na kuzama chaka.Huwezi kuujua uislam kea google mzee,kilimo cha matikitiki tu huwezi kukijua kwa google iwe uislam,na zaidi unaenda kwenye viwebsaiti vya kupinga uislam kujifunza uislam
Hoja zaifu sana, tena ya kibaguzi. Babu zetu walivaa Migolole.Mbona suti na tai zimeletwa na wazungu na Bado mnazivaa?! Si mrudi kuvaa magome ya miti na ngozi za wanyama kama walivyovaa Babu zenu ili tujue hamtaki vya kutoka kwa wageni?!