Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

KURITADI
1. Surat An-Nisa (4:137)"Hakika wale walioamini, kisha wakakufuru, kisha wakaamini tena, kisha wakakufuru tena, kisha wakaongeza ukafiri, Mwenyezi Mungu hatawasamehe, wala hatawaongoza njia.

"Hii inaonyesha kwamba kuritadi na kisha kurejea kwenye Uislamu tena na tena ni kitendo kinachodhihirisha ukosefu wa imani thabiti, na kwa watu wa aina hii, msamaha unaweza kuwa mgumu zaidi kupatikana.

2. Surat Al-Imran (3:90)"Hakika wale waliokufuru baada ya kuamini, kisha wakaendelea kuzidi ukafiri wao, haitakubaliwa toba yao, na hao ndio wapotevu."Hapa, Qur'an inabainisha kwamba kuritadi na kuzidi kwenye ukafiri kunaweza kuwafanya watu hao wasistahili msamaha.
 
Huyu nani anamhitaji kwenye Uislam tazama alivyo tu hana hata dalili ya Uislam. Leo mtu aseme Diomond Platinum kajitoa katika Uislam si kama huyu hata kusali hajui labda 😄
 
Ijumaa utawaona Waafrika weusi wanaenda kuswali huku wamevaa mavazi ya Kiarabu kama Kanzu na Baraghashia na Vilemba.

Dr. Umar ana HOJA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…