Kitendo tu cha kuhalalisha kiarabu iwe lugha pekee ya kuongea na alaa hiyo ni dosariTatizo ni wakristo wengi na wanaoingia katika Uislam wanakosea sehem ndogo tuu wao wanadhani kua muislam inabidi ufuate tamaduni za kiarabu na ubebe kila kitu kinafanywa nao ndio dini hapo utachemka. Uislam una nguzo zake na nguzo za kiimani full stop ukishika hayo huwezi kuyumbishwa na hata huyo mwarabu mwenyewe
Hapo hoja ya kudebate na kuwekana sawa labda ni lugha tu ya kiarabu. Hizo zingine alizoongea hazina impact.Ungejibu Hoja zake.
Mkienda Uarabuni mnaitwa "Abid" means Slave in Arabic.inawezekana wewe ndo ukawa wa kwanza.kama una akili na unashindwa kumjua mungu wako.basi una matatizo ya akili
Abdu "MJA"Mkienda Uarabuni mnaitwa "Abid" means Slave in Arabic.
Yes, mkuu wewe umekua wazi kwa mjadala. Dini yeyote ile ina misingi yake na muumini unapoenda dini fulani inabidi uendane na instruction za dini husika.Tatizo ni wakristo wengi na wanaoingia katika Uislam wanakosea sehem ndogo tuu wao wanadhani kua muislam inabidi ufuate tamaduni za kiarabu na ubebe kila kitu kinafanywa nao ndio dini hapo utachemka. Uislam una nguzo zake na nguzo za kiimani full stop ukishika hayo huwezi kuyumbishwa na hata huyo mwarabu mwenyewe
Vipi kiyahudi mkuu?Huwezi kua na akili timamu ukawa muislamu, hakuna.
Uislamu ungetenga na uarabu angalau ungesimama kama dini lakini sasa ni utamaduni wa uarabuni ambao umejifunika kwenye ngozi ya dini. Dini gani Mungu wao anasikia kiarabu tu, ukimuomba kwa lugha nyingine hasikii na wala haelewi?Huyo mungu ana kibwengo?
Dini ni utapeli kama utapeli mwingine. Mungu hayupo.
Hawaoni hata tofaut ??
Kuna Waislam wacha Mungu, kama walivyo wakristo. Waislam hao na wakristo wa namna hiyo, hata wakiishi pamoja, amani na upendo hutawala. Lakini kuna matapeli wa dini ndani ya uislam, kama walivyo pia baadhi ndani ya ukristo.Kumbe ni vikundi tu?
Wale ambao nchi nzima ni magaidi ambazo sio Waislam, unawaongeleaje?
Uislam ndio dini isiyo na kasoroKitendo tu cha kuhalalisha kiarabu iwe lugha pekee ya kuongea na alaa hiyo ni dosari
Hahahah nyani haoni kundule.Ni nini hiki???
Ukiambiwa usiegemee madrasa pekee unakuwa mkali
Kwa sababu ndivyo ulivyoaminishwa na wazee wako.Uislam ndio dini isiyo na kasoro
Big up, huyu amejitambua!!.Dr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi.
Dr. Umar Johnson kasema kuanzia sasa yeye sio Muisilamu na amejiunga na Dini ya Mizimu ya Kiafrika African Spiritualism.
View: https://youtu.be/2zxXzGX_i-Y?si=vAOjyCo_bS9uLiRS
Hakuna ujinga mkubwa kama kuamini dini za kuletwa kwenye majahazi.Huyu ni Yeriko Nyerere aliyechangamka
Lengo ni kuwaunganisha waislamKitendo tu cha kuhalalisha kiarabu iwe lugha pekee ya kuongea na alaa hiyo ni dosari
Haya bhanaKwa sababu ndivyo ulivyoaminishwa na wazee wako.