Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Isije kuwa aliambiwa ili atimilike katika uislamu lazima awe gaidi sasa kashtuka kaona bora awakimbie
 
B. ˹through which˺ the angels and the ˹holy˺ spirit1 will ascend to Him on a Day fifty thousand years in length.
a. Allah anasema siku moja ya
[22:47] Wanakuomba uiharakishe adhabu. Hakika Mwenyezi Mungu havunji ahadi yake. Na Siku moja kwa Mola wenu Mlezi ni kama miaka elfu ya hisabu yenu.
 
Usisahau caliphate pia iliuwa wakristu wangapi

Na chanzo cha crusade ni ku oppose caliphate
Kweli.

Lakini kitendo cha kuwepo kwa crusades na caliphate kunathibitisha kwamba ukristo na uislamu vyote vina kasoro.

Haiwezekani unaabudu mungu mwenye upendo halafu anakutuma uue maelfu ya watu, anakutuma ushikilie mamalaka ya dunia wewe peke yako.

Hizi dini zenu ni vyama vya siasa tu, nothing more, nothing less.
 
Sura ya kwanza kabisa aliyofundishwa mtume ni kusoma kiukweli kiarabu ni changamoto kwa asietaka kusoma kwasababu ndio lugha mama ya kitabu tunachotumia lakini sio kubwa sana kwakua kuna tafsiri hivyo utahitajika kujua idea at least na lugha nyepesi pia kujifunza kwani maneno mengi pia ni ya kiswahili
 
Ukristu unasema kuua ni dhambi na ndiyo maana tuna agano jipya.
ila je ukishambuliwa utakaa kimya?
 
Mkuu, nami nilikuwa nawaza kwamba huo mwito wa ibada (wazana) hauna tafsiri kwa lugha zingine? Nilitamani sana tuusikie kwa lugha zingine kama "kindengereko " ingikuwa poa sana.
Ni kuitana kwenda kumuabudu Mungu Allah ndio point nzima lakini ati inasomwa Kiarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…