Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Uislamu unaruhusu kuua asiye muislamu na aliyebadili Imani kutoka uislamu kwenda kwingine
I have been commanded to fight
against people till they testify that there
is no god but Allah, and that Muhammad
is the messenger of Allah"
(Sahihi Muslim 1
:33)
"O you who believe! Fight those of the
unbelievers who are near to you
and let them find in you hardness."
(Quran 9:123)
Mmebadilishana na wote mnafuraha mlipo sasahivi.Kumbe wewe ni kama mimi, mimi nilikuwa Mwisilamu, nikabadri dini fasata na kuwa Mkristo,
Tangu nipokee wokovu, sjawahi kujuta, nilikuwa naumwa sana kichwa kabla, niliombewa nikaanguka mapepo, tangu siku ile nilipona kichwa mpaka leo
MIZIMU IMLINDEDr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi.
Dr. Umar Johnson kasema kuanzia sasa yeye sio Muisilamu tena bali amejiunga na Dini ya Mizimu ya Kiafrika African Spiritualism.
View: https://youtu.be/2zxXzGX_i-Y?si=vAOjyCo_bS9uLiRS
Niliamua tu kuwa specific kwa kuwa mada imeelekea kwa waislamu zaidi.
Ahsante kwa kunikumbusha.
Hii ndiyo yenyewe🙏🏾👍🏾African Spiritualism
Jibu Hoja zake.
22:47 ni kweli siku moja kwake yeye ni kama miaka 1000, hio 70;4 anaonyesha kitendo cha kupandisha roho na malaika kwenda kwake kitachukua miaka 50elfu na hapo aanzungumzia wakati ujao sio uliopita au uliopoTueleze mkanganyiko huu katika quran UTATA KATIKA QURAN Siku moja ni ya muda gani kwa mujibu wa Mwenyezi Mungu? a. Siku 1 ni sawa na miaka 1000 (22:47) b. Siku 1 ni sawa na miaka 50,000 (70:4)
10;3 hizo zinazungumzia uumbaji wa mbingu na ardhi kwa pamoja ulichukua siku 62. Mwenyezi Mungu alichukua muda gani kuumba ardhi? a. Siku 6 (7:45, 10:3, 11:7, 25:59) b. Siku 8 ( 41:9-12 )
2;29 anazungumzia kuumba vilivyomo katika ardhi na sio kuumbwa kwa ardhi3. Je, mbinguni ni kongwe au dunia ni ya zamani? Ni ipi iliundwa kwanza? a. Dunia iliumbwa kwanza (2:29, 41:9) b. Mbingu iliumbwa kwanza (79:27-30)
Mungu ni anaonyesha aina mbali mbalimali alizotumia kumleta binadamu duniani kuanzia kwa Adam aliyemuunda moja kwa moja kwa udogo, Adam akamuumba hawa kwa mbavu changa za Adam akamuumba mtoto wa damu kupitia manii hivyo ni uelewa wako ndio tatizo hapo4. Wanadamu waliumbwa kutokana na kitu gani? a. Bonge la damu ( 96:1-2 ) b. Maji (21:30) c. Udongo uliochomwa (15:26) d. Vumbi (3:59) e. Hakuna (19:67) f. Dunia ( 11:61 ) g. Tone la maji mazito ( 16:4, 75:37 ) h. Udongo unaonata (37:11)
Yupo mmoja akija kuendeleza hii conv atamuona (kwa alivyoaminishwa) mwenzake kwamba amepotea na kupotoka.Mmebadilishana na wote mnafuraha mlipo sasahivi.
Kafiri kabisa, tena ni maamuma mkubwa. Kwamba Algeria na Lebanon ni nchi za kiarabu? Umeyatoa wapi hayo usemayo?Ukimwangalia yule ni mhuni tu wala hana athari ya uislamu , halafu kwann huwa mnaunasibisha uislamu na uarabu hebu niambieeni ni dini IPI ambaye nabi wake alitoka ulaya, america au afrika ! manabii wote mashuhuri walitoka mashariki ya kati kwa marejeo ya Zaburi, Torati, Injili (agano la kale) na Quran. Algeria ni nchi ya kiarabu ila wakristo ni wengi, vilevile Lebanon
Kutotilia mkao kujifunza lugha labda ndo liwe tatizo. Lakini kama imani umeikubali na imejengeka kumatain sana lugha fulani wewe kama muumini yafaa kuendana nayo.Lugha ni tatizo.
Dini ya amani sio? Yenye kuheshimu mitazamo ya kila mtu?Safi sana. Tena huyo amabae anasema uongo ndio kabisa, wakukatwa vichwa vyake vyote viwili.
Mkuu, kwa hiyo huo mwito wa mwazana ni wa lugha ya Allah?Ndio maana Allah akaweka utaratibu kuepusha dini yake ya haki kuendeshwa na matakwa ya watuu
Ndio nimekujibu.Hoja zake sio hayo hoja zake ni Lugha na Culture ya Kiarabu kwenye Dini ya Kiislamu.
Hiyo haitakua fair. Jambo kwa hali ya kawaida ya hapa bongo na kwingineko kokote kila mtu anamuona mwenzake kapotea, aseme au asiseme.Yupo mmoja akija kuendeleza hii conv atamuona (kwa alivyoaminishwa) mwenzake kwamba amepotea na kupotoka.
Naomba nijuwe hiyo dini ya kuabudu minimum yetu iko wapi nikajiunge haraka. Afadhari watu weusi wemeaza kuamuka. Hivi watu weusi hawajiulizi kwanini nchi zilizo kuwa vinara wa biashara ya utumwa ndio vinara wa kueneza dini zao?Dr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi.
Dr. Umar Johnson kasema kuanzia sasa yeye sio Muisilamu tena bali amejiunga na Dini ya Mizimu ya Kiafrika African Spiritualism.
View: https://youtu.be/2zxXzGX_i-Y?si=vAOjyCo_bS9uLiRS
Haya bhana kila la kheriKumbe wewe ni kama mimi, mimi nilikuwa Mwisilamu, nikabadri dini fasata na kuwa Mkristo,
Tangu nipokee wokovu, sjawahi kujuta, nilikuwa naumwa sana kichwa kabla, niliombewa nikaanguka mapepo, tangu siku ile nilipona kichwa mpaka leo
Koran 2;191Qur'an 2:256. Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet'ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua. 256