Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Kweni "Ngai" luna wingi? Kwanini tusitumie Ngai au Mungu.
Allah ndio kapenda iwe hivyo,

Ni sawa sawa na kuuliza kwanini wanawake tusiwaingilie wanaume,

Huwo ndio mpangilio kila kitu kina sheria na kanuni zake
 
Kabla ya ujio wa mtume muhammad waarab wa makka waliuwa na culture zao
Hakuna kikichobadilika labda tu waliachana na Polytheism na kuhamia kwenye Monotheism lakini Rituals zao za Kipagani mpaka leo zipo mfano kuzunguka Kaaba kubusu Jiwe jeusi nk.
 
Sitoshangaa nikisikia Dr.Johnson kauwawa na Majihadist😁
Kazi gani kumuua mtu ambaye alishakufa?! Ukiamgalia hilo bichwa lake tu utagundua kuwa alikuwa mwislamu bendera fuata upepo tu na hakuwahi kukaa chini kusoma uislamu. Kuitwa Umar siyo dalili kuwa alikuwa mwislamu bali bali huyo alikuwa kenge ndani ya msafara wa mamba Sasa kaamua kuungana na kenge wenzake, Sasa hapo Wala hatushangai.
 
Kweni "Ngai" luna wingi? Kwanini tusitumie Ngai au Mungu.
Nilikuuliza swali dshafu sana, Yesu alimwitaje Mungu?

Hizo unazosema wewe ni lebo, kama imhotep" siyo jina lako ni lebo yako tu JF.

Yesu alimwitaje Mungu?
 
WaAfrica tumeanza kujipata kifikra baada ya kujitafuta kwa muda mrefu.
Wamebaki mazombi wachache wanaotukwamisha wao wanaamin katika Uzungu/Uarabu na tamaduni za huko kiasi wanatuchukia sisi tusioamini katika huo Ubwege.
 
Lengo ni kuwaunganisha waislam
Mfano mdogo adhan inatolewa kwa kiarabu, muislam yeyote dunian akisikia saut hii anajua mda wa kuswali umefika hata kama yupo nchi ambayo hawazungumzi lugha yake
Sio sawa lugha jingine zidhaniwe mwarabu mjanja sana
 
Hakuna kikichobadilika labda tu waliachana na Polytheism na kuhamia kwenye Monotheism lakini Rituals zao za Kipagani mpaka leo zipo mfano kuzunguka Kaaba kubusu Jiwe jeusi nk.
Nenda kasoma kwanza acha ubishi wa asili
 
Huyo kichwa chake mali yetu,tunataka kila mmoja apate mema ya pepo huyu anaondokaje dini kwa sababu ndogo kama hizi?
Hatimae amejikomboa😁
Qur'an 2:256. Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet'ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua. 256
Umemaliza mjadala.Tunaunga mkono hoja yako.
 
Back
Top Bottom