Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

KISWAHILI Kinaeleweka na Asilimia 95+ ya Watanzania.

Sisi ni Waafrika tunapomuabudu MUNGU/NGAI tutumie Lugha yatu ya Kiafrika.
Kiingereza kinaongelewa na 95%+ Afrika kuliko kiswahili.
Sasa kama hoja ni lugha yenye watu wengi kwanini msisali kwa lugha ya kiingereza kinachotumiwa na watu wengi kuliko kiswahili?! Au shida yako unataka kila nchi Afrika iwe na dini yake badala ya waafrika wote kuwa na dini Moja?! Ukileta ubaguzi huo wa waafrika kuwa na dini tafauti tafauti huoni unaenda tafauti na mvutabangi mwenzio bob Marley aliyeimba wimbo unasema. "Africa unite" akimaanisha waafrika waungane?! Sasa waafrika wataungana vipi wakati kila nchi ina dini yake?!
 
Lugha ya kiarabu ni Lugha ambayo inawaunganisha waislamu Dunia mzima. Mimi 90% ya elimu yangu ya dini nimesomea hapahapa TZ lakini naweza kwenda China , Japani, Australia , India , Naijeria na nchi yoyote duniani na nikaongoza ibada bila shida yoyote.
Sisi waislamu tunaamini kwamba makabila na mataifa yote yameumbwa kutokana na Adamu na Hawa na watu wote ni sawasawa.
Allaah katuchagulia mtume ambaye ni mwarabu na kaifanya lugha ya kiarabu kuwa ndiyo lugha ya kufanyiwa ibada ya swala.
Sisi tumeamini na kuridhia utaratibu tuliowekewa na Mola wetu kupitia mtume wetu Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم.
Tumeridhia Allaah kuwa ni MOLA WETU.
Na Muhammad ni MTUME WETU.
Na uislamu ni DINI YETU.
Na Kaaba ni KIBLA CHETU
Na waislamu wa mataifa na makabila yote wanaume na wanawake ni NDUGU ZETU.
Na Quran ni KITABU CHETU.
Na pepo ya Firdausi ni LENGO LETU.
Wala kelele za makafiri hazitusumbui wala hazitubabaishi hata kidogo.
Ulicho kisema ndio HOJA ya huyo jamaa aliyeachana na Uislam kwamba uislamu ni kutukuza utamaduni wa Kiarabu.
Kwamba Mungu huwezi kuwasiliana nae ujue Kiarabu? Ndio point ya sheikh muasi ilipo hapo
 
Afro Americans walidanganywa sana kuwa uislamu ndiyo dini ya mababu zao wakati ililetwa na waarabu kama ukristo ulivyoletwa na wazungu, na bila kujus waislamu na waarabu walifanya biashara ya UTUMWA YA KIKATILI ZAIDI KULIKO WAZUNGU, yaani afro Americans walimkimbia slave master mmoja kwenda kwa slave master mwingine mwarabu.
 
Hizo ni tabia za kiarabu za kuzuia Nyege kwa VITAMBAA wakati Nyege inatakiwa izuiwe kwenye NAFSI.

Hayo Mahijabu hayasaidii kama NAFSI ni CHAFU.
Basi mkeo mwambie avue hayo mavitenge na atembee uchi kama nyani kwa sababu nyege inazuiwa kwenye nafsi.
Hayo mavitenge ya mkeo pia hayamsaidii chochote kama nafsi yake ni chafu!

Kwanini mkeo anazuia nyege kwa vitenge na khanga ?! Mwambie avichome moto atembee uchi kama majike ya nyani maana hayo mavitenge hayana faida yoyote!! UBAYA UBWELA!
 
Ulicho kisema ndio HOJA ya huyo jamaa aliyeachana na Uislam kwamba uislamu ni kutukuza utamaduni wa Kiatabu.
Kwamba Mungu huwezi kuwasiliana nae ujue Kiarabu? Ndio point ya sheikh muasi ilipo hapo
Mwache aende anakotaka. Yeye si wakwanza kuacha uislamu wala siyo wa mwisho.Wale wote walioacha uislamu kabla yake walitaja sababu ambazo wao waliona ni za msingi na watakaoacha uislamu baadae pia hawatakosa visingizio vya kutuambia.
Tangu mtume صلى الله عليه وآله وسلم amefariki Sasa ni miaka 1400+ na uislamu umefika mbali sana . Kwa hapa Tanzania tu kwa umri wa miaka 47 nilioishi hapa duniani, watu niliosikia kuwa wametoka kwenye uislamu kwenda dini nyingine ni wachache mno nikilinganisha na wale ambao nimewaona wakiacha dini zao na kuingia kwenye uislamu na wengine nimewasilimisha Mimi mwenyewe kwa ulimi wangu.
Sasa yeyote anayetaka kutoka kwenda dini nyingine mlango uko wazi lakini ahadi ambayo imo ndani ya Quran na hadithi za mtume صلى الله عليه وآله وسلم ni kwamba uislamu utadumu na kustawi daima hadi kiama kitakaposimama.
 
Au shida yako unataka kila nchi Afrika iwe na dini yake
Nataka Uislamu katika Afrika uwe Afrikanized mbona Bible ziko za Kila Lugha?! Kwanini isiwe Quruani kwanini Waafrika waitane KIARABU kwenda kuabudu kwanini isiwe Kiswahili Afrika ya Mashariki na kati Kihausa Fulani Afrika ya Magharibi nk.
 
Basi mkeo mwambie avue hayo mavitenge na atembee uchi kama nyani
himba.jpg
two-young-girls-of-the-himba-tribe-opuwo-namibia-BMATK9.jpg

Wanawake hawa ni Waafrika wa Kabila la Wahimba huko kusini mwa Afrika hawavai Hijabu na wala hakuna UBAKAJI nyege na Matamanio yanazuiwa NAFSI sio HIJABU.

Wanawake wangapi wanavaa HIJABU na huku wanauza K?! kuizua Nafsi isitamani ndio IBADA yenyewe sio Manguo ya Kiarabu..
dancers.jpg
 
Afro Americans walidanganywa sana kuwa uislamu ndiyo dini ya mababu zao wakati ililetwa na waarabu kama ukristo ulivyoletwa na wazungu, na bila kujus waislamu na waarabu walifanya biashara ya UTUMWA YA KIKATILI ZAIDI KULIKO WAZUNGU, yaani afro Americans walimkimbia slave master mmoja kwenda kwa slave master mwingine mwarabu.
Soma kitabu kinaitwa KWAHERI UHURU KWAHERI UKOLONI ili uijue vizuri biashara ya utumwa.
Waarabu walikuja kununua watumwa Afrika mashariki, je kule Afrika ya magharibi nani alichukua watumwa? Au uelewa wako ni kuwa watumwa walitoka Afrika mashariki peke yake?!

Pia historia haionueshi waafrika kupigana na waarabu kama walivyopigana na wazungu hasa wajerumani je unaweza nieleza kwanini mababu zetu hawakupigana na waarabu au unadhani waarabu walikuwa na nguvu kuliko wajerumani.

Sehemu kubwa ya historia inayofundishwa kwenye maskuli imepotoshwa kutokana na chuki binafsi dhidi ya waarabu.
 
Nataka Uislamu katika Afrika uwe Afrikanized mbona Bible ziko za Kila Lugha?! Kwanini isiwe Quruani kwanini Waafrika waitane KIARABU kwenda kuabudu kwanini isiwe Kiswahili Afrika ya Mashariki na kati Kihausa Fulani Afrika ya Magharibi nk.
Panatumika lugha ya kiarabu kwa sababu Allaah سبحانه وتعالى anataka Dunia nzima waislamu wawe kitu kimoja kwa kuongea lugha Moja.
Ndio maana nimekwambia japokuwa Mimi kwa 90% elimu ya dini nimesomea hapa hapa Tanzania lakini nikiingia msikitini Johannesburg Afrika ya Kusini naweza endesha ibada bila shida yoyote.
Lakini kiongozi wa kanisa wa hapa Tanzania akiingia kanisani Johannesburg itabidi aendeshe ibada kwa kiingereza kwakuwa akiongea kiswahili wazulu hawatomuekewa!!.
Kwahiyo kupitia Lugha ya kiarabu waislamu Dunia nzima tunaongea Lugha Moja.
Alhamdu lillaah, hili jambo linatupa amani na furaha sana.
Alhamdu lillaah.
Tumeridhia Allaah ni Mola WETU.
Muhammadi ni MTUME WETU.
Uislamu ni DINI YETU.
Kaaba ni KIBLA CHETU.
Qurani tukufu ni KITABU CHETU.
Waislamu wote , wa makabila na mataifa yote ni NDUGU ZETU.
Sisi ndio WAISLAMU.
 
Panatumika lugha ya kiarabu kwa sababu Allaah سبحانه وتعالى anataka Dunia nzima waislamu wawe kitu kimoja
Kwa taarifa yako huyo Allah anatangaza Culture ya Kiarabu kama hujui basi jua hivyo sisi tumeshamshtukia huyo Allah.

Sisi tumeamua kwenda na MUNGU/NGAI nyie bakini kwenye Utumwa wa Kiakili.

Peace and Love ndio ujumbe wetu.
645d4f17ecbd3d001d512e6c.jpg
 
Muhammed na kundi lake walikopi hizo Stori kutoka kwenye Bible na Tora.
Muhammadi hajakopi, bali kilichotokea ni kwamba Allaah aliyempa Nabii Musa kitabu kinachoitwa TAURATI, na Allaah aliyempa Nabii Daudi kitabu kinachoitwa ZABURI, na Allaah aliyempa Nabii Isa ( Yesu/ Jesus) kitabu kinachoitwa INJILI ndiye huyo huyo aliyempa mtume Muhammadi صلى الله عليه وآله وسلم kitabu kinaitwa QURAN. Allaah ameeleza kwenye Quran habari za vitabu na mitume na manabii walipewa utume kabla ya mtume Muhammadi صلى الله عليه وآله وسلم kuonyesha kuwa mitume wote walikuja kufundisha dini ya aina Moja.
Habari zote zilizomo kwenye Quran zimetoka kwa Allaah Moja kwa Moja au kupitia malaika jibrilu kuja kwa mtume صلى الله عليه وآله وسلم Wala mtume hakuwahi kusoma taurati, ZABURI Wala INJILI.
Isipokuwa habari hizo kaelezwa na Allaah عز وجل.
 
Mwache aende anakotaka. Yeye si wakwanza kuacha uislamu wala siyo wa mwisho.Wale wote walioacha uislamu kabla yake walitaja sababu ambazo wao waliona ni za msingi na watakaoacha uislamu baadae pia hawatakosa visingizio vya kutuambia.
Tangu mtume صلى الله عليه وآله وسلم amefariki Sasa ni miaka 1400+ na uislamu umefika mbali sana . Kwa hapa Tanzania tu kwa umri wa miaka 47 nilioishi hapa duniani, watu niliosikia kuwa wametoka kwenye uislamu kwenda dini nyingine ni wachache mno nikilinganisha na wale ambao nimewaona wakiacha dini zao na kuingia kwenye uislamu na wengine nimewasilimisha Mimi mwenyewe kwa ulimi wangu.
Sasa yeyote anayetaka kutoka kwenda dini nyingine mlango uko wazi lakini ahadi ambayo imo ndani ya Quran na hadithi za mtume صلى الله عليه وآله وسلم ni kwamba uislamu utadumu na kustawi daima hadi kiama kitakaposimama.
Tumekubaliana kubadiri topic mkuu? Topic hapa sio kuhusu usahihi wa imani au laa, kigezo kwamba dini ipo na itaendelea kuwepo sio uthibitisho kwamba imani hiyo ni sahihi au laa. Kwani imani ya Freemason (dini ya shetani ) imeanza lini? Imeanza tokea enzi za Nimrodi, Nimrod ni mjukuu wa Nuhu; uislam umekuja miaka almost miaka 2000+ baadae na dini zote zinakua; hapo vipi? Again utetezi wako haubadiri maana kwamba ile ni kuutangaza utamaduni wa Kiarabu; jikite kwa HOJA hiyo tu
 
Muhammadi hajakopi,
Muhammed kaja miaka 500 baada ya Yesu na hizo Stori alizokujanazo hazikuwa kitu kipya bali ni kukopi kwenye Vitabu vilivyowepo Hijazi Wakristo na Wayahudi walikuwepo Hijazi na Bible zilikuwepo.

Na akaongezea mambo kutoka kwenye Dini ya Zoroastra Dini ya Kale ya IRAN.

Halafu akachukua Upanga na kuanza kusambaza Dini yake "Mpya" matango Pori matupu.😆
 
Kwa taarifa yako huyo Allah anatangaza Culture ya Kiarabu kama hujui basi jua hivyo sisi tumeshamshtukia huyo Allah.

Sisi tumeamua kwenda na MUNGU/NGAI nyie bakini kwenye Utumwa wa Kiakili.

Peace and Love ndio ujumbe wetu.
View attachment 3120200
Muislamu ni mtu aliyemtambua Allaah kuwa ndiye mola wake aliyemuumba na kumuweka hapa duniani na kwamba uhai wake na mauti yake na kila kitu chake viko katika mamlaka ya Allaah, Sasa japo haiko hivyo , hata ingekuwa hivyo tungeridhia alilolitaka mola wetu kwamba tuwafuate waarabu , tungewafuata kwa sababu ni amri ya Allaah muumba wetu.
Wewe fikiria tu jeshini kamanda akisema mguu pande, mguu sawa, nyumaa geuka! Mbeleee tembea mtu anafuata amri hizo zote bila ubishi Wala kuuliza kwanini !!, Sasa iweje Mungu wangu aliyeniumba aniamrishe kufuata Mila za kiarabu halafu nikatae Mimi ni nani katika Dunia hii hadi nibishane na Allaah aliyeniumba???!!!
 
Muislamu ni mtu aliyemtambua Allaah kuwa ndiye mola wake aliyemuumba
Uislamu una miaka 1450 tokea ubuniwe na Mohamed inamaana huyo Allah kaanza kuumba Watu kuanzia 1450 mpaka leo je kabla ya hapo Watu walikuwa wakiumbwa nani?!
 
Tumekubaliana kubadiri topic mkuu? Topic hapa sio kuhusu usahihi wa imani au laa, kigezo kwamba dini ipo na itaendelea kuwepo sio uthibitisho kwamba imani hiyo ni sahihi au laa. Kwani imani ya Freemason (dini ya shetani ) imeanza lini? Imeanza tokea enzi za Nimrodi, Nimrod ni mjukuu wa Nuhu; uislam umekuja miaka almost miaka 2000+ baadae na dini zote zinakua; hapo vipi? Again utetezi wako haubadiri maana kwamba ile ni kuutangaza utamaduni wa Kiarabu; jikite kwa HOJA hiyo tu
Si lazima tukubaliane, na kimsingi siyo rahisi kukubaliana. Hapa kila mtu anajenga hoja kutetea kile anachokiamini na ambae hana hoja anakaa anakaa kimya!!
Kwa mfano Mimi navyojua Freemason ilianzishwa na mfalme herode na jukumu la kwanza la kikosi hiki ilikuwa ni kudhibiti kuenea kwa dini ya Nabii Isa /Yesu ambayo wakati huo ikijulikana kama unaswara ambao baadae ulibadilishwa jina na kuitwa ukristo!
Na ninavyoamini Mimi uislamu ni DINI ambayo ilikuwepo kabla ya Nuhu kwa sababu baba yetu Adamu na mama yetu Hawaa walikuwa waislamu kwa kuwa uislamu ndio mwongozo waliopewa washikamane nao katika maisha ya dunia Sasa kwa hali hii wewe unaamini ni rahisi Mimi na wewe kukubaliana.
 
Bro; kalenda zote za Kiislam zinaonesha uislamu hauna hata miaka 2000 ubazungumzia habari za nabii Adam na Hawa? Well, manabii wote wa imani walikua Waisrael/Wayahudi then how tena Uislamu uhamie Uarabuni? Kihistoria wamekua wapagani, waabudu sana, watu pekee wa kitabu walikua Wayahudi hata Quran imewatambua hivo kwamba, "Kwa habari ya Nabii Isa, waulizeni hao malnaswala na mayahudi waliokua WA KWANZA kupokea vitabu vitakatifu" hiyo ni Quran na sio maneno yangu, kama Quran imesema Wakristo ma Wayahudi ndio wa kwanza kuvijua vitabu vitakatifu, how useme uislamu ulianza enzi za nabii Adam? Uislam umeletwa na "mtume" Mohamed na sio vinginevyo
 
Back
Top Bottom