Dr. Vedasto Kyaruzi daktari mpigania uhuru wa Tanganyika

Sheikh Mohamed Said shurkan kwa huu ulimbo.
 
Last edited by a moderator:

Hilo wala halina shaka liko wazi kabisa, tena wateja wao wakubwa walikuwa wazungu, mpaka chumba cha hifadhi watumwa hapo Unguja kipo ndani ya Kanisa Anglikana, underground, umeshakitembelea?. Mbona si huko tu? huku bara hiyo ndiyo ilikuwa biashara ya machifu, wakiuza Waafrika wenzao.

Isitoshe, unajuwa kuwa hiyo biashara haijaisha mpaka leo? sasa imebadilishwa jina tu. Kuna ma employment agents kibao tu. Kuna watu wanaitwa ma "scouts" kazi zao kutazama vipaji vya watu na kuwauza amma ndani ya nchi amma nje ya nchi. Unajuwa leo nikitaka hausigeli kutoka mkoani haraka haraka nawasiliana na madalali, kila kichwa wanacholeta wanachukuwa ujira wao. Hata wewe ukitaka baa meidi si unajuwa wapi pa kuwapata?

Utumwa haujaisha duniani, unaendelea mpaka leo:


Isitoshe, unajuwa katika nchi 160 duniani, Tanzania ni ya 29 kwa biashara ya utumwa hivi sasa?

Jisomee: http://www.globalslaveryindex.org/findings/?gclid=CL-fqLvYrLoCFfHKtAod6SQAPA#overview
 
baada ya Nyerere kutoka UNO ndipo Dossa Aziz a.k.a the Bank akachukua jukumu la kumlipa Mshahara Nyerere kwa kipindi choote cha harakati...maana kule UNO aliambiwa achague kati ya ualimu au Siasa na yeye akachagua Siasa...

Lakini historia Mdebwedo ya Tanzania ati inasema Dossa the Bank alikuwa ni Dereva wa Nyerere...

Teh teh kwa Gari gani haswa?
 
Natamani nisikie mnatuletea habari za askofu au wachungaji waliopigania uhuru wa Tanganyika, au Kanisa lilikuwa halipo siku hizo?

Hivi KUPIGANIA UHURU ndo kufanyaje vile??? Hivi nyie mnataka tuamini kwamba waazilishi wa TAA/TANU ndo WALIOPIGANIA uhuru TU! Vipi waliomwaga damu kwenye vita vya Maji Maji, akina Mkwawa , Mirambo and all over Tanganyika , walikufa for what??? Uhuru!!! Kila Mtanganyika aliyekuwa mtu mzima kabla ya 1961 alipigania uhuru, period!!
 
cc. Mohamed Saidi
 
Hii ndio sumu ya Mohamed Saidi, mwenyewe akisoma hapa bichwa linamvimba!
 

Kuna askofu mmoja anaitwa ABBAS MTEMVU ni mwenyekiti wa Bravo Job Center anawapeleka madada kufanya kazi ndani Dubai : *ABBAS MTEMVU AENDELEA KUWAPATIA WATANZANIA KAZI DUBAI ~ SUFIANIMAFOTO
 
Alichofanya Mohamed Said ni kuwarudisha wazee wa Kiislam waliokuwa wamefutwa kwenye historia ya Tanganyika.

Huko ndiyo kuutumia Uislam vibaya?
Huu ndio kutokujua historia na misingi ya historia! nani anaweza kufuta matukio yaliyokwisha tokea? anachofanya mchochezi Mohamed Said ni kuyatafsiri matukio ya kihistoria kwa manufaa yake ya kishetani na sio vinginevyo!
 
Hahaaaaahaa nilishasema vita hii ninayopigana na wewe ni vita kubwa, na ni vita kati ya wema na ubaya,

Wewe unaongoza ubaya na mimi naongoza uzuri,

Naona umekuja kwa mwavuli wa Dr Kyaruzi, lakini sumu ni ileile,

Vita kati ya wema na ubaya siku zote wema hushinda, ndio hushinda kwakuwa palipo wema na Jah yu kati yake,


Naaaam ngano za gerezani zimekosa mlaji, na sasa imekubali matokeo.

Karibu Mohamed Said,

Tukimaliza kumsoma huyu Daktari wa Kwanza kabisa Tanganyika, nitakuleteeni tumsome Mwalimu wa kwanza kabisa na muasisj wa AA Mwalimu Cesil Matola, Kisha tutamsoma Shehe Issa Bin Amir, na kumsoma tena mwana wa hekima za pwani na Mvuvi mashuhuri katika pwani ya Azania, si mwingini bali ni Mzaramo halisi bwana Ally Ramadhani,


Hao nisehemu muhimu ya historia ya mapambano ya uhuru wa Tanganyika
 
Shariff Ritz,
Ulimbo mzuri sana kwa kutegea shorwa.
Lazima atanasa.

Zamani enzi za utoto wakati Dar es Salaam bado ndogo.

Wakati wa likizo tukitege ndege Bonde la Msimbazi kulia kwa daraja la Magomeni
Morogoro Road.


Sheikh Mohamed Said.


Je hao shorwa/shorwe uwazungumziao ni wale shorwe vibwenzi!?...maana nakhis hao ndo walojazana humu Jf.

Ahsanta.
 


Duh! We mtu unatisha!

Lete mavitus Mkuu...

Ahsanta.
 
nyerere alivyokwenda kwenye Baraza la UNO akakutana na Msomi wa kitanzania enzi hizo...hapa namzungumzia Kigoma Malima, kisha Malima alimshangaa Nyerere akiwa katika vazi la Suti moja matata saana...
Malima akamuuliza Nyerere ''hili vazi umelitoa wapi?...maana hata huku tu wazungu hawamudu kulinunua''

Nyerere akamjibu hii ni suti ya Milionea Dossa a.k.a the Bank, ameniazima niivae na pia hii tai nayo aliifunga yeye na kuniasa nisiifungue mpaka ntakaporudi.

teh teh dah Ishi ujionee...
leo hii watoto wetu hawausomi ukweli wa Mtanzania Mkarimu kupata kutokea...yaani Waziri Dossa Aziz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…