DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

NDULI VS MKULIMA

MUDA WOWOTE RATIBA ITATOKA

TUNASUBIRI MAJIBU KUTOKA KWA MKULIMA

NGOMA 24 AZUIE SARE
 
Noma sana hiyo mechi itakata ubishi wa nani mkali japo Sisco anaonekana kushinda mapambano mengi

Ila kitendo cha kukubali kipigo cha bao 3 kutoka kwa Mkulima ni kama kilimvua vyeo

Mi nitakuwa mshabiki wa Ronaldo

Mechi lini na itapigwa mtandaoni au face to face?
 
Hii face to face itakuwa MANYANYA AU KITUNDA JAVA LOUNGE

RATIBA ITATOKA SOON
 
Sisqo ni mkali sana na kama Angekuwa yupo peke yake bila kuwategemea akina nduli basi angekuwa mchezaji mkubwa angeishughulisha akili yake mara nyingi ila kitendo cha kukaa timu huru kubana akili yake hawezi kuwa jeshi
 
Sisqo ni mkali sana na kama Angekuwa yupo peke yake bila kuwategemea akina nduli basi angekuwa mchezaji mkubwa angeishughulisha akili yake mara nyingi ila kitendo cha kukaa timu huru kubana akili yake hawezi kuwa jeshi
Hata Mimi naona hivo , WATU HURU ilikuwa lazima wamchukue ,maana angewaburuza Sana
 
Hata Mimi naona hivo , WATU HURU ilikuwa lazima wamchukue ,maana angewaburuza Sana
Kabisa nina imani Sisqo ni mkali na mm ni shabiki wake mkubwa sana ila kama Angekuwa peke yake ningekuwa shabiki yake naamini Angekuwa mbali zaidi ila kwakuwa yupo kule naamini kaifunga akili yake bado hatoweza kuitumia akili yake vizuri ningekuwa nae karibu ningemshauri kama alivyofanya harmonize na vany boy kutoka wasafi ambapo wangekaa wangkuwa chini ya mafanikio ya diamond
 
Kiukweli sielewi chochote kuhusu chess, ila navutiwa tu na michango yenu wadua!
Nafuatilia humu Vizuri.
Naomba kuuliza Huyo Java ni nani hasa?? Yeye anafaidika vipi kudhamini mashindano hayo??
Wadau na wadhamini wa mashindano ya Draft wapo wengi Sana

Java Ni mmoja wapo , Ni mmiliki wa JAVA LOUNGE pale kitunda

Ila wadhamini na wadau wa draft Ni wengi Sana ,

Kikubwa burudani na kukuza Umoja na ushirikiano
 
Hata Mimi naona hivo , WATU HURU ilikuwa lazima wamchukue ,maana angewaburuza Sana
Kwangu mm ni tofauti kabisa Sisco wakati anaingia Kwa watu huru bingwa ni noel..
Ila kma unavyomjua nduli Kuna kipindi hataki mechi kabisa analitema draft, noel nae akienda njombe anakua mnyonge akirud dar..
Sisco ni mchezaji anaepoteza mda kweny madanali yani asubui adi usiku akibadilisha pool kidgo..
Kwaiyo mara nyingi Sisco anawasaidia kina noel, nduli kuwapa current copy..
Ila kiukwel bingwa wa draft Tanzania bila kumeza macopy kusumbuka,,yani akili nyingi ni NOEL NAMALOE a very big talented guy..sema ndo nae anapata shida mpka arudi dar kula copy kidgo kino..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…