DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

Lengo kubwa si pesa ni burudani na urafiki
 
Na ndicho alichofanywa mkulima,Jana Rama alichezea 2 bila Kwa mkulima, Leo mkulima naye kachezea 3 bila .Nadhan Rama alijichimbia kujua wapi alikosea.
 
mkoa gani upo
 
HABARI WANAFAMILIA YA DRAFT GAME COLLEGE

AWALI YA YOTE NITOE SHUKRAN KWA WAPENZI WA DRAFT TOKA PANDE ZOTE ZA TANZANIA HAKIKA TUMEONA NI JINS GANI WATU WAME HITAJI MPAMBANO HUU KWA MAPENZI YA DHATI KBS
[emoji4][emoji120]
AMA KWELI MICHEZO NI BURUDANI PAMOJA NA FURAHA NA SIO VITA WALA CHUKI KAMA AMBAVYO IMEKUA IKITAFSIRIWA NA BAADHI YA WADAU [emoji1666][emoji1666]

KIONGOZI MWANDAMIZI KUTOKA KTK KAMPUNI YA WATU HURU ANATHIBITISHA KUWEPO KWA MTANANGE HUU PASINA MASHAKA

SISQO VS CR7

(Confirmed)

INAKWENDA KUTOKEA BURUDAN YA MAANA NA KAMA ILIVYO ADA WATU HURU HATUNAGA DOGO LINAPOKUJA SWALA LA KUKALIA BENCHI HARAFU KUWE NA PESA NZURI KAMA HIII BASI UJUE PANACHIMBIKA[emoji122] SHUKRAN KWA MDHAMIN WA JAVA, ANAONESHA UNYAMA SANA MZEE WETU [emoji110][emoji110][emoji110]

WATU HURU HATUNAGA SHOW MBOVU.... HIVO BASI MASHABIKI WETU WOTE TEMBEENI VIFUA MBELE POPOTE PALE MLIPO KAMMA MNAVYO MJUAGA SISQO BASI TAMBUENI KUA MOTO UNAKWENDA KUWAKA VILIVYO HAKUNA MASIHARA KAZINI [emoji4][emoji4]

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
IKITOKEA MMOJA AKAFUNGWA

Mechi kati ya Dogo Sisco na Cr 7 kama itachezwa (ingawa ninamashaka) na ikatokea mmojawapo akapoteza basi inaweza kuwa na madhara yafuatayo.

1. Tuanze na Sisco
Sisco akifungwa
- Ronaldo atapata sababu lukuki za kusema yeye ndio kiboko ya Watu wa Uhuru hata kama hatarudiana na Nduli wala kucheza na Mzee Noel.

- Mechi yoyote ya Cr 7 dhidi ya Wenye Uhuru itakuwa na thamani kubwa sana

- Mengi aliyoyafanya Dogo Sisco yatapungua uzito na umuhimu kwani italazimishwa ionekane alokuwa anapambana nao ni wachezaji dhaifu.

- Inaweza kuwa ndio mechi ya mwisho Sisco kukutana na Ronaldo. Namna pekee ya kujifariji itakuwa ni kwa Sisco kusema aliwahi shinda tano na itaonekana kama ni maneno ya mchapikaji tu [emoji3]

- Wadai Uhuru wataingia kucheza na Cr 7 wakihisi tayari wamefungwa endapo kama mmojawapo atajiloga kukubali mechi na Cr 7.

- Akatae akubali, wakatae wakubali; japo kipigo cha gol 1 alichopata Sisco kwa Cr 7 ni cha kawaida ukilinganisha na golu 5 alizoshinda yeye, ila ni ukweli kwamba Sisco anatamani sana kufuta lile golu. Akichapika tena basi atazeeka na kovu moyoni. NIMESEMA WAKATAE WAKUBALI, huo ndio ukweli.

- Team watu huru watapambana sana kuaminisha watu kwamba Sisco kashinda mechi nyingi lakini wahuni watawaona kama Madomokaya tu kumbe sio [emoji3][emoji3]

2. Tuje kwa Ronaldo
Kama Ronaldo atafungwa
- Itaonekana ile sare ya michezo 24 na mkulima ilikuwa ya mchongo; hapa mtegemee Dulla Mabau kutamba kwelikweli kwamba alisema...[emoji23][emoji23]

- Itakuwa ndio mechi ya mwisho kwa Cr 7 kucheza na Sisco.

- Inaweza kuwa ndio mechi ya mwisho yenye msisimko kwa Cr 7 kwani italazimika kuthibitisha zama zake ni Zama za Kale za Mawe kwa sasa[emoji3][emoji3].

- Asilimia kubwa ya kitakachokumbukwa ni zile goli 5 na kichapo kipya na mengine yote yatasemekana yalikuwaga ni ujanja ujanja tu [emoji3][emoji3]

- Sisco atatajwa pasi na shaka kwamba ni mchezaji bora aliyewahi kuwa kwenye kiwango Bora kuliko kiumbe yeyote aliyewahi kucheza mabau

- Sisco atatajwa kama binadam pekee aliyefanya makubwa kuliko yeyote aliyewahi kuzaliwa tena katika umri mdogo[emoji3][emoji3]

- Noel Namaloe atapata tege la kutokuja kucheza na Cr 7 kabisaa [emoji3][emoji3]. Kila akipangiwa nae atasema kama ulimshindwa dogo utaniweza mie Bingwa wa dunia [emoji3][emoji3]

Wachezaji wanapojiandaa kucheza mchezo huu basi wayategemee hayo [emoji1369][emoji1369] na mengine endapo kama mmojawapo atachezea kichapo.

Ikibidi, hii mechi iwekewe mazingira Bora kwenye kuiratibu.

1. Wachezaji na wasimamizi wasigusane na wachezaji

2. Mazungumzo au maneno ya mashabiki kwa wachezaji yadhibitiwe na atakayejaribu kutaka kuvuruga mchezo adhibitiwe mala tu atakapoonyesha dalili; wakiwepo wale wanaopenda kuonyesha mazingira ya ushirikina.

3. Tahadhari zote za muhimu zichukuliwe ili mchezo uanze kwa amani na umalizike salama.
 
EXCLUSIVE

Timu: Dogo Sisco Vs Cr7 Mnyama ( Confirmed )

Mdhamini: Boss Java

Zawadi: 300,000/= (winner 200k na Looser 100k )

Lini: Jumapili tarehe 15 January 2023 Saa tisa kamili jioni

Wapi: JAVA FAMILY LOUNGE ( Kitunda )

Mfumo: Ngoma 24 - Omary John + tege kumi za mzee Ngapu

Mratibu: Masta Mtemi (15,000)

Photographer : Masta Mtemi

Kamisaa: Fidelis (10,000)

Note: Hakutakuwa na mshindi wa pili ila kutakuwa na nauli ya shilingi laki moja kwa atakaefungwa kama Kifuta jasho na endapo mechi itaisha sare hawa jamaa watapewa laki na ishirini kila mmoja

Tajiri Mkubwa JAVA amesema wacha kiwake,, Wazaramo wanasema hawana ulimbo wa kutegela Ng'onzi,, na Waswahili wanasema asie na mwana aeleke Jiwe[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Mama Mkanye Mwanao
 
Mchezo hauna thamani huu.....
 
Mkulima Leo kafa 3 bila michezo kumi,Kwa RAMA ARUSHA mjini hapa.
mkulima gani huyo unayemzungumzia?

kama wa online hataki kuji-reveal watu wamwone. na kama huyu wa online, stats zake za hivi karibuni siku mbili za nyuma mpaka leo zinaonyesha game aliyofungwa magoli hayazidi mawili.

tukiachana na ubishi wako, kwa mujibu wa stats, huyu jamaa anafungika vizuri tu. stats zinaonyesha waliomfunga ni watu 9, katika hao 9 waliomfunga kihalali ni 4 kwasababu walicheza michezo mingi. hawa wengine 5 wanahesabika hawajamfunga kihalali kwasababu wamemfunga moja halafu wakakimbia. (ANGALIA PICHA KWA UFAFANUZI ZAIDI).

tukitaka kuona mkulima akifungwa tuwatafute hawa 4 waliomfunga kihalali halafu dau liwekwe mezani, hapo tutaona mkulima akinyanyaswa kama mtoto mdogo.
 
Attachments

  • mkulima stats #1.jpg
    308.2 KB · Views: 20
  • mkulima stats #2.jpg
    164.6 KB · Views: 19
Hawezi kuwa mkulima huyo atakuwa amechanganya madesa huyo
 
EXCLUSIVE

Timu: Dogo Sisco Vs Cr7 Mnyama ( Confirmed )

Mdhamini: Boss Java

Zawadi: 300,000/= (winner 200k na Looser 100k )

Lini: Jumapili tarehe 15 January 2023 Saa tisa kamili jioni

Wapi: JAVA FAMILY LOUNGE ( Kitunda )

Mfumo: Ngoma 24 - Omary John + tege kumi za mzee Ngapu

Mratibu: Masta Mtemi (15,000)

Photographer : Masta Mtemi

Kamisaa: Fidelis (10,000)

Note: Hakutakuwa na mshindi wa pili ila kutakuwa na nauli ya shilingi laki moja kwa atakaefungwa kama Kifuta jasho na endapo mechi itaisha sare hawa jamaa watapewa laki na ishirini kila mmoja

Tajiri Mkubwa JAVA amesema wacha kiwake,, Wazaramo wanasema hawana ulimbo wa kutegela Ng'onzi,, na Waswahili wanasema asie na mwana aeleke Jiwe[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Mama Mkanye Mwanao
 
Ipo hivo Hilo kwa wengi hata mafundi wenyewe wanasema Ni Goli kwa 3

Ila mkulima alitoa Sare vzr kabisa, na Video yake IPO

Kuna Step anafanya hapo Hadi Sare

Kimeshachukuliwa Kama kipande, watu wataanza kuzunguka nacho kuwapiga watu pesa
Itoshe kusema huyo Mkulima ni mwalimu na fundi kwa hapa Tanzania.. Ebu anzisheni la East Afrika apambane na mabingwa wa kwa majirani tuone
 
Hakuna aliemfunga mkulima kihalali ndugu yangu kweny game la Tanzania.. either muda uliisha Kuna mtindo anasukuma kete Moja alafu hachezi tena.. kama uyo dogo mapenz hua anacheza na mkulima Chinese lile la kumalizana ndo anafungwa..playok hakuna aliemfunga mkulima kihalali zaidi ya David mbeya basi ndo mana watu wanamsifu sana nazan game yake imefutwa coz imezid miez 6..
Game za kina townkid, Mohamed 1997 zote wakipata goal Moja ni la mda tuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…