Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
Lengo kubwa si pesa ni burudani na urafiki
Wakuu....
Kuna kitu kinani-dissappoint hapa.
Mbona hizi zawadi naona kama ni ndogo sana kulinganisha na brand za hawa mabingwa?
Yaani bingwa wa draft Tanzania nzima anacheza game 24 mfululizo (zingine usiku wa manane), anatumia akili nyingi, halafu akishinda anaambulia 40,000 tu?