Kwa hiyo tuseme Sisco kapata ugumu mwasababu aina ya draft waliyocheza sio ile aliyoizoea ndio maana alifungwa?Sisco anakiri kupata goli inakaribiana na ndoto
Huyu kwa nilivyomuona hawa wachezaji wetu atawaonea tu , sijawahi kuona sisco akiongea kauli yakidhaifu akiwa anacheza na mtu ila jana alisema,
Ndio wamecheza French na British ya king hairukiAlikuja manyanya akamfunga na Sisco?
Hii Ni sababu piaKwa hiyo tuseme Sisco kapata ugumu mwasababu aina ya draft waliyocheza sio ile aliyoizoea ndio maana alifungwa?
Huyo tupo hapo hadi lini niangalie kama naweza pata nafasi nije kumchekiTaarifa Muhimu
Taarifa zilizonifikia hivi Punde ni kwamba yule jamaa aliempasua Sisco Manyanya ni Rafiki wa karibu sana na mzee Mangwelele na inasemekana walisoma chuo kimoja cha kidraft huko Nairobi,, ila Jamaa alijiendeleza Zaidi kimabao.
Sasa uchambuzi unaonyesha kwa asilimia 80 jamaa ndio mkulima ila asilimia 20 zinakataa kwa sababu jana usiku Masta Mtemi alivyotaka kumuhoji jamaa akakataa na Kusema yeye hamjui mkulima,, Sasa kwa uchambuzi huu tunaweza jiridhisha kabisa kwamba Whoziambo ndio mkulima na hivyo wageni kutoka sehemu za dunia mnakaribishwa Manyanya kama kivutio kumuona live Mkulima
Vile vile jamaa alikataa kupigwa picha tulikuja kustuka baada ya kumuona Yutube
Naomba kuwasilisha,,,,,, View attachment 2476827
Kama alimfunga kwa french na ile ya kingi hairuki basi siwezi kusema ni tishio sana kwasababu najua michezo hiyo haijapewa kipaumbele hapa TZNdio wamecheza French na British ya king hairuki
Jamaa amesema kama wadhamini watatokea yeye yuko teyari kucheza na Sisco hii British ya TZ rule ngoma 24 ila dau liwe nono[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Bado yupo yupoHuyo tupo hapo hadi lini niangalie kama naweza pata nafasi nije kumcheki
Ngoja tuone maana Kunakoelekea Atataka hii ya TZ rulesKama alimfunga kwa french na ile ya kingi hairuki basi siwezi kusema ni tishio sana kwasababu najua michezo hiyo haijapewa kipaumbele hapa TZ
Kwenye hiyo FRENCH amepewa sare kama 3 hivi na Mangwelele ila amekataa.Kama alimfunga kwa french na ile ya kingi hairuki basi siwezi kusema ni tishio sana kwasababu najua michezo hiyo haijapewa kipaumbele hapa TZ
Mangwelele alishauriwa na madaktari aache draft lakiniJamaa kaleta utulivu,
Mpaka Mzee Mangwezi alivyoonekana Manyanya ndio tunaanza kuwaona mafundi sasa[emoji3][emoji3]
Yale ya ushindani aliacha ,Leo alikuja japo alikuwa anaumwaMangwelele alishauriwa na madaktari aache draft lakini
In a real Sense Mangwelele na Cr7 Wanatakiwa kuheshimiwa kwenye draftMangwelele alishauriwa na madaktari aache draft lakini
Hawawezi kumruhusu aondoke akiwa bingwaNgoja tuone maana Kunakoelekea Atataka hii ya TZ rules
Mangwelele hajapiga mechi na hiyo jamaa?In a real Sense Mangwelele na Cr7 Wanatakiwa kuheshimiwa kwenye draft
Cr7 amehakikisha anazuia Utawala Wa Mkulima kule Online lakini pia baada ya kuona Sisco ameshindikana kwenye Bench baada kuwafunga Wachezaji Wakubwa Wote wakiwemo Nduli na Noel
Mangwelele baada ya kusikia kuna Mtu amevamia Manyanya amempasua Mtoto Sisco na leo Jamaa alikuja kuchukua Madraft ya Manyanya aondoke nayo ikabidi apigiwe simu Mangwelele Pamoja na kuwa ni Mgonjwa ili aje kuikomboa Manyanya
Prof Mangwez apewe heshima yake amemtisha Jamaa akatulia[emoji91][emoji91][emoji91]
Hajapiga kaweka MashartiMangwelele hajapiga mechi na hiyo jamaa?
Mangwelele alitaka kumuwekea picha ya samaki mchizi akamstukiaMangwelele kamwambia kama anajitangaza Bingwa wa Dunia basi apite mbele. Kama hajiiti Bingwa wa dunia wauane. Akawa hatii neno lolote.
Ndipo Mangwez akamwambia achague
1. Azuie sare 2 French ila goli lake halihesabiki na azidi mara 3. AKAKATAA
AU
2. Mangwez azuie sare 3 kwenye British na Mangwez atazidi mara 3. KAKATAA
Hata kina Sisco wapo Youtube sema hapo ni aina ya mchezo tu ndio unao wabana kina SiscoHuyo jamaa yupo you tube anacheza mashindano makubwa. Wawe makini atapita na miamamala yote