Draw ya Klabu Bingwa Afrika: Yanga yapangiwa kucheza na Zalan ya South Sudan; Simba kucheza na Nyasa Big Bullets ya Malawi

Draw ya Klabu Bingwa Afrika: Yanga yapangiwa kucheza na Zalan ya South Sudan; Simba kucheza na Nyasa Big Bullets ya Malawi

🚨CAF

Zalan of South Sudan Vs Yanga sc of Tanzania.

Mshindi atacheza na St George ama Al Ahli Tripoli ya Libya.

Yanga sc mabingwa wa nchi wataanzia ugenini.

#TotalEnergiesCAFCL #TotalEnergiesCAFCC
Unaangalia kupitia channel ipi mkuu
 
Simba SC wawe makini kila hatua, wasiwadharau hao Big Bullets wa Malawi, nao ni wasumbufu.

Kuingia makundi Klabu Bingwa Afrika sio jambo la mchezo...

Nikikumbuka ile mechi na Nkana Red Devils tulivyowapiga 4-1 pale kwa Mkapa baada ya kufungwa Zambia, tujifunge mkanda haswa.
 
Daaa afazari, kumbe ni al ahly ya tripoli na si ya Cairo, nilidhani CAF wameamua kutukomesha, sasa kinacho fuata ni kupigana pin wenyewe kwa wenye ili wote tusi toboe kimataifa tuishie kuwaangalia mabingwa wengine kupitia vibanda umiza!
 
Young Africans trying to call CafCl group stage.

"The number you're calling is not reachable at the moment, please try again later"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa uzoefu wa Simba wa miaka minne mfululizo kwenye klabu bingwa Afrika, hakuna timu inatamani kukutana na Simba, na Simba haigopi kukutana na timu yoyote ile.

Kwanini?
Simba ilishadhamiria kuchukua ubingwa wa Afrika (kwa kuwa ina uwezo huo), hivyo iko tayari kukabiliana na timu yoyote.
 
Wasingefungwa na Makirikiri msimu uliopita
 
Back
Top Bottom