Draw ya Klabu Bingwa Afrika: Yanga yapangiwa kucheza na Zalan ya South Sudan; Simba kucheza na Nyasa Big Bullets ya Malawi

Draw ya Klabu Bingwa Afrika: Yanga yapangiwa kucheza na Zalan ya South Sudan; Simba kucheza na Nyasa Big Bullets ya Malawi

Yaani tunaitoa Big Bullets, baada ya hapo tunawatoabna Waangola! Tukikutana na Pyramid au Mamelod Sundowns nao tunawatoa! Baadaye tunaenda zetu nusu fainali.

Kwa sasa tuna mshambuliaji wetu mzungu. Huyu atatuvusha mpaka nusu fainali.
Haswaaaaaaah!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Msimu uliopita wamewatoa Mamelod

Wake wanaitwa petro de luanda hawa ni wale waliofungwa na namungo

Sidhani kama simba kuna team ya kumsumbua katika hizi

Yanga ndio ana kipengele cha kupambana na al hilal ya sudan atakapomtoa huyu wa kusini
Kiufupi al hilal wa sasa hivi ameingia sokoni na tetesi za mwisho kabisa ni kwamba ameweka mezani dollar millioni moja kuchukua striker


IMG_2237.jpg


A petroles ndio petro luandas de atletico na huyo wa chini ambaye sina imani kama hata atavuka hatua ya awali ndio primeiro de agusto
 
De Agosto ni team ya kawaida tu na waliwahi kupigwa na Namungo, wewe umewachanganya na Petroleos De Luanda (hao ndio moto wa kuotea mbali).

Petro luanda mwenyewe msimu uliopita alikuwa tuu na bahati kama ile game yake na mamelodi uliicheki na ndio maana akaenda kupigwa 4-2 na wydad

2nd leg alifungwa kwao goal tatu kwa moja
Kwa kifupi team ya kuisumbua simba ni zile zilizoanzia round 1 moja kwa moja labda na zamalek
 
Timu zetu kuna uwezekano mkubwa wa kuingia group stage
Kikwazo kikubwa ni pale tutakapoanza kukutana na timu za Egypt, Morocco, Algeria, Tunisia na 'South Afrika
 
Basi sisi hao tutawafanya kama mazoezi ili kwenda kuwakabili vyema Al Hilal au wale waimba kwaya mliojinasibu kuwapiga
Mshindwe nyie tyuuh.
Eti hii ndo team enyewee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_16601128276709063.jpg
FB_IMG_16601128431954225.jpg
FB_IMG_16601128362839342.jpg
 
Nje ya Mada:Hivi timu za Zanzibar hazishiriki ama wao wazanzibar sisi watanganyika?
 
Nje ya Mada:Hivi timu za Zanzibar hazishiriki ama wao wazanzibar sisi watanganyika?
Kuna moja anashiriki lakini wale hamna hata anayewafuatilia maana wakicheza wanafungwa nyumbani kuanzia magoli 6 bado ugenini
 
Back
Top Bottom