cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Ndo mara yao ya kwanza.I mean ushuriki wao kwenye mashindano ya kimataifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo mara yao ya kwanza.I mean ushuriki wao kwenye mashindano ya kimataifa
Haswaaaaaaah!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani tunaitoa Big Bullets, baada ya hapo tunawatoabna Waangola! Tukikutana na Pyramid au Mamelod Sundowns nao tunawatoa! Baadaye tunaenda zetu nusu fainali.
Kwa sasa tuna mshambuliaji wetu mzungu. Huyu atatuvusha mpaka nusu fainali.
Ni Petro De Luanda, sio Atletico.
Basi sisi hao tutawafanya kama mazoezi ili kwenda kuwakabili vyema Al Hilal au wale waimba kwaya mliojinasibu kuwapigaNdo mara yao ya kwanza.
Msimu uliopita wamewatoa Mamelod
De Agosto ni team ya kawaida tu na waliwahi kupigwa na Namungo, wewe umewachanganya na Petroleos De Luanda (hao ndio moto wa kuotea mbali).
Zalan ya South Africa
Big bullets ya Malawi
timu zote zinavuka hii round ila round ya pili kazi ipotumekutana na miamba
Kheeeeh kumbee??Majina yote hayo mkuu ya timu hiyohyo moja. Yasikuchanganye ni kama tu chelsea uiite the blues
Mshindwe nyie tyuuh.Basi sisi hao tutawafanya kama mazoezi ili kwenda kuwakabili vyema Al Hilal au wale waimba kwaya mliojinasibu kuwapiga
hao ni wa level ya Yanga iyo timu ni kama timu za ndondo tu.Mshindwe nyie tyuuh.
Eti hii ndo team enyewee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2319883View attachment 2319884View attachment 2319885
Kuna watu wana angalia ligi kuu ya South SudanUliwajuaje ili hali ni timu ambayo imechukuwa ubingwa mwaka huu?
Zalan mbona wadau weng husema ya sudani. Unaongopea mkuuZalan ya South Africa
Big bullets ya Malawi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hao ni wa level ya Yanga iyo timu ni kama timu za ndondo tu.
Hawa ndio tutawatumia kama mazoezi kuwakabili Al Hilal. Wait and seeMshindwe nyie tyuuh.
Eti hii ndo team enyewee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2319883View attachment 2319884View attachment 2319885
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa ndio tutawatumia kama mazoezi kuwakabili Al Hilal. Watch and see