Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
Unazuia watu wasitoe pesa lakini wanaend kutolea kwa adui😅😅Ni miezi miwili sasa tangu pale Jiji la Goma lianguke mikononi mwa kundi la waasi la AFC/M23. Tangu wakati huo, benki zote za biashara zimefungwa kwa maagizo ya mamlaka mjini Kinshasa. Kutokana na hali hiyo, katika jiji hili lenye wakazi zaidi ya milioni moja, madawati ya fedha hayafikiki, fedha za kigeni ni chache na uchumi wa ndani umeyumba sana.
Wakikabiliwa na hali hii, baadhi ya waendeshaji uchumi wanafanikiwa kutoa pesa kupitia Kiotamotela ama ATM zilizo nje ya nchi, haswa katika nchi jirani ya Rwanda.
Licha ya baadhi kufaanikiwa kutoa pesa kwa kutumia Kiotamotela maharufu kama ATM za Rwanda, wengine pia hutumia njia za kielektroniki za uhamishaji. Lakini shughuli za kawaida za kila siku kama vile kuweka au kutoa pesa kwenye matawi haziwezekani tena.
Ni katika muktadha huo ambapo AFC/M23 inataka kuunda mfumo wake wa kifedha unaoitwa “Mamlaka ya Udhibiti wa Sekta ya Uchumi, Fedha na Bima”. Kulingana na RFI, muundo huu tayari umeundwa kwenye karatasi.
Inatarajiwa kutekeleza jukumu la benki kuu katika maeneo yaliyo chini ya udhibiti wa AFC/M23.Vuguvugu la kisiasa na kijeshi linaloungwa mkono na Kigali pia linataka kuanzisha upya Cadeco, taasisi ya fedha ya umma ya Kongo, inayozingatiwa na wataalamu kadhaa kuwa karibu imesimama.
Uasi huo uliteua usimamizi sambamba, kwa lengo la kuifanya benki kuu katika eneo lililo chini ya udhibiti wake. Mapato ya ushuru yanayokusanywa na utawala wa AFC/M23 yanapaswa kulipwa ndani yake.
Maagizo yalitolewa kwa wabadilisha fedha na waendeshaji uchumi wa ndani kufungua akaunti ndani ya muundo huu. Lakini mfumo huu unakabiliwa na vikwazo vingi, kulingana na wataalam waliowasiliana na RFI, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa uhusiano na benki za kimataifa na vikwazo kutoka kwa, shirika la kimataifa ambalo linapigana na fedha chafu.
Kwa upande wake, AFC/M23 inapanga kutegemea nchi jirani, hasa Kenya, Rwanda na Uganda. Je, mradi huu unaenda kutekelezeka kweli? Kila kitu kitategemea, anajibu mtaalamu mmoja, juu ya kiwango cha kutengwa kwa kimataifa kwa AFC/M23 na majibu ya nchi na benki za ukanda.
Na wanaendelea kudunda kwa raha zao.Unazuia watu wasitoe pesa lakini wanaend kutolea kwa adui😅😅
Inasikitisha sanaaibu kubwa hii wa Afrika hatuwezi kujisimamia kabisa.
Rwanda ikiachwa, na watutsi wakidekezwa, hakika ipo siku, Tanzania, Burundi, Zambia, Malawi, Msumbiji zote zitaongozwa na Watutsi wa Rwanda. Mapato wanayopora Toka, Bukavu, Goma, Kisangani nk yatanunua silaha na kuweka vibaraka na kuanzisha migogoro kote.Mhh!! Hii sasa ni zaidi ya tunavyofikiri taratibu hiki kipande kuanzia Bukavu,baraka,bunya,butembo chote kitajitenga ,mpaka Kisangani. Umoja wa Nchi huru za Afrika hauna meno ya kumwajibisha yeyote katika Bara hili, aibu kubwa hii wa Afrika hatuwezi kujisimamia kabisa.
Amka,utakojoaRwanda ikiachwa, na watutsi wakidekezwa, hakika ipo siku, Tanzania, Burundi, Zambia, Malawi, Msumbiji zote zitaongozwa na Watutsi wa Rwanda. Mapato wanayopora Toka, Bukavu, Goma, Kisangani nk yatanunua silaha na kuweka vibaraka na kuanzisha migogoro kote.
Kukojoa sawa. Nani alijua miaka 20 iliyopita kuwa leo Rwanda itaweza kuimega Congo kirahisi hivyo.Amka,utakojoa
Ndayishiye juzi analia lia kama mtoto Mdogo BBC anawasihi Rwanda wasimchape😅😅Rwanda ikiachwa, na watutsi wakidekezwa, hakika ipo siku, Tanzania, Burundi, Zambia, Malawi, Msumbiji zote zitaongozwa na Watutsi wa Rwanda. Mapato wanayopora Toka, Bukavu, Goma, Kisangani nk yatanunua silaha na kuweka vibaraka na kuanzisha migogoro kote.
Wekeni mifumo ya haki katika uendeshaji wa nchi hayo unayowaza hayawezi tokea.Rwanda ikiachwa, na watutsi wakidekezwa, hakika ipo siku, Tanzania, Burundi, Zambia, Malawi, Msumbiji zote zitaongozwa na Watutsi wa Rwanda. Mapato wanayopora Toka, Bukavu, Goma, Kisangani nk yatanunua silaha na kuweka vibaraka na kuanzisha migogoro kote.
Kwa hiyo Kagame ana mifumo ya haki gani kwa mamilioni aliowauwa.Wekeni mifumo ya haki katika uendeshaji wa nchi hayo unayowaza hayawezi tokea.
South Sudan na Eritrea zilijitenga, hawatakuwa wa kwanza kama wakijitenga na wala hawatakuwa wa mwisho. Nchi kujitenga au kuungana ni juu yao wenyewe kama ambavyo nchi inaweza kupinduliwa na jeshi au na kundi la waasi au wakombozi whichever way you'll prefer to call them.Mhh!! Hii sasa ni zaidi ya tunavyofikiri taratibu hiki kipande kuanzia Bukavu,baraka,bunya,butembo chote kitajitenga ,mpaka Kisangani. Umoja wa Nchi huru za Afrika hauna meno ya kumwajibisha yeyote katika Bara hili, aibu kubwa hii wa Afrika hatuwezi kujisimamia kabisa.
Mwenyewe niliona anavyoongea kwa heshima na taadhima kuomba Rwanda asiivamie Burundi.Ndayishiye juzi analia lia kama mtoto Mdogo BBC anawasihi Rwanda wasimchape😅😅
kwamba tuweke mifumo ya kuifurahisha Rwanda ?Wekeni mifumo ya haki katika uendeshaji wa nchi hayo unayowaza hayawezi tokea.
Miaka 20 iliyopita ni 2004,1997-8 walifika Kinshasa,wakarudishwa,kwa congo Hilo siyo final,unaweza amka ukakuta m23 wamekimbilia UgandaKukojoa sawa. Nani alijua miaka 20 iliyopita kuwa leo Rwanda itaweza kuimega Congo kirahisi hivyo.
Tanzania ipi unayoisema wewe labda sio hii HQ hayo watu ata nguo atuvaliani sembuse kututawalaRwanda ikiachwa, na watutsi wakidekezwa, hakika ipo siku, Tanzania, Burundi, Zambia, Malawi, Msumbiji zote zitaongozwa na Watutsi wa Rwanda. Mapato wanayopora Toka, Bukavu, Goma, Kisangani nk yatanunua silaha na kuweka vibaraka na kuanzisha migogoro kote.
Mkuu mawazo kama yako ndio yameifikisha congo pale ilipo leo. Wale ni wakongo na warwanda.Kwa hiyo Kagame ana mifumo ya haki gani kwa mamilioni aliowauwa.
Asante mwalimu..South Sudan na Eritrea zilijitenga, hawatakuwa wa kwanza kama wakijitenga na wala hawatakuwa wa mwisho. Nchi kujitenga au kuungana ni juu yao wenyewe kama ambavyo nchi inaweza kupinduliwa na jeshi au na kundi la waasi au wakombozi whichever way you'll prefer to call them.